vaspanya
Pole sana kamanda
Asante sana kwa hii video ndugu Ben!
I know somehow this does not come as a shock to most of us. We have seen this coming for a long time.
Tunatoa pole nyingi sana kwa wafia, kwa chama na wapenzi wa cdm pamoja na watu wote wenye mapenzi mema na chii hii.
Ushauri wangu kwenu nyinyi viongozi, CCM wameshashindwa kwa kila namna, and this is there last and most effective way. CCM wants to kill all of you, it doesnt matter when, tena kwa bunduki. I am saying this because you can see it in their face and their statements. This is a fact ambayo haina mjadala. Perhaps hapo nyuma walikuwa wanawatania, but this time they are aiming for it. Otherwise, tunaweza kuwapoteza.
U need to restrategize upya. Sina maana mgive up, no at all. One thing you should know is that never face ccm at this moment without uhakika wa security, especially security ya viongozi wenu.
Hili swala inabidi mliweke kwenye top agenda, mlifikirie sana!! Mpo wengi hamwezi kushindwa hata kidogo, . Sehemu ya kwanza ambayo inabidi muitarget ni kwenye jeshi. Fanyeni juu chini mpate tathmini ya nguvu za kijeshi na silaha na kila kitu kuhusu majeshi yote tz, pamoja na watu katika jeshi wanaotumika na ccm.
Sisemi mpambane na jeshi ila mpambane na ccm ndani ya jeshi. Hili ni la muhimu sana. Msipambane naao tu majukwaani na bungeni. Hapana. Hapa ndio mahali pekee mlipopabakiza panapo wapa hawa kina mwigulu, nape, etc uhai wa kuongea. Apart from that, hawana akili yoyote wale, pamoja na baba zao ndani ya chama.