nimeiona hiyo video wakuu kiukweli inauma umefika wakat wa ccm na serikali yake dhalimu kujua hawa si tembo ambao kinana anawafanya atakavyo, imefika wakati wa kikwete kutoka madarakani bila shurutisho, immefika wakati wa wananchi kujua haki zao na kuzitafuta hata kwa mtutu
serikali ya ccm ilaaniwe na vizazi vyotechadema: Mlipuaji wa bomu la arusha ni polisi, hatukubali mauaji ya aina hii published on 18 jun 2013 mkurugenzi wa habari na uenezi wa chadema akizungumza na waandishi wa habari leo tarehe 18/06/2013 makao makuu ya chadema amesema chadema inao ushahidi wa video kuwa aliyelipua bomu kwenye mkutano wa chadema arusha ni polisi na polisi wenzake wakamsaidia kutoroka source: Chadematv youtube
Tahadhari: Tafadhali fungua ukiwa mbali na watoto kwa kuwa kuwa ni video ya kikatili
WANAJF,
Video hii ni sehemu ya kwanza tu inayoonyesha kabla na baada ya bomu kulipuka hali ilivyokua bila kuonyesha ni nani aliyelipua.Ni video ya dakika 4:19.Hivi ndivyo maisha ya watanzania wenzetu yalivyokatishwa kikatili.
Bomu Arusha Mkutano ChademA 15 JUNE - YouTube
6549. Itafahamika kama Balali alifariki kweli au yupo hai, na kama yupo hai kwanini afichwe?