Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 40,307
- 62,527
Mtasema anakula sadaka 😀
Anhaa, sasa kama anawachunga kondoo mbona kawaida sana hiyo kujirusha, mchungaji wetu wa mifugo wa Kimasai, mara anajisahau utamkuta bar na kondoo na mbuzi kawawachia wajichunge wenyewe.Hahaha! Ni Mchungaji wa kondoo wa bwana.
binadamu wa kawaida ni wanamna gani labdaYeye binadamu wa kawaida akiwa nje ya madhahabu.
Sio mbaya.