BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 9,424
- 23,813
Unaweza kuta Mbowe ndio alimnyuka risasi Lisu baada ya kutaka kukipora chama.
Sio kweli.Wote ni ndugu moja, tofauti za kiitikadi haziwezi kuondoa utanzania wetu
Na ndivyo ilivyokuwa !Siasa mchezo mtamu sana, inaweza kupigwa picha, tactical picture, mkatafsiri kwa kwenda mbali sana, lakini pengine hapo suala ni, "Sikujua kama monduli pameendelea namna hii"
Nazani mmeambiwa siasa ni vitaSiasa mchezo mchafu