Mwita Maranya
JF-Expert Member
- Jul 1, 2008
- 10,564
- 7,973
Filipo,Nitasikiliza jmosi. Ila naomba mfanye kama star tv. Uweke mada hapa mapema na kutujulisha mgeni utakayekuwanae ili tuanze kuuliza maswali yetu mapema. Ila hilo la kutaja id zetu, ngoja nimalizie ndovu ya pili nirudi!
Sasa hata wewe mutoto ya Arusha unaogopa nini? mbona mlikesha NMC bila kuogopa mabomu na risasi za policcm!!??
btw, umetoa angalizo muhimu kwakuwa hiyo itamsaidia Fina kupata maswali/maoni in advance kwa ajili ya maandalizi ya kipindi chake cha Makutano Show kwa wale ambao wanaweza wasipate muda wa kusikiliza kipindi kitakapokuwa hewani.
Last edited by a moderator: