VIDEO: Mahojiano na Mh. Zitto Kabwe katika Makutano Show

Honestly Fina nakubali kazi yako,toka kipindi kileee uko na ndugu yangu Masoud mlikua mnafanya kazi nzuri,ingawa kama unavyojua majungu na fitna hazikwepeki! Tambua huwezi kumfurahisha kila mtu,jiandae kwa changamoto..mwanzo mzuri! Usilewe sifa!
 
Fina,

Vipi unaweza pia ukamjumuisha Kipanya katika kipindi? Manake nyie wawili mkiwa pamoja mnafanya kazi nzuri sana...rejea enzi zile mkiwa pamoja pale radioni.
 
Edson

Website ya Magic FM inafanyiwa matengenzo kwa sasa lakini kabla ya kipindi kingine Jumamosi itakuwa hewani na tutaiweka hapa ili wadau wote muweze kusikiliza.



hilo ndilo la muhimu sana Makutano Show... kupitia kipindi chako mabadiliko ya kweli tunayoyataka yatapatikana...
 
Last edited by a moderator:
Juma mosi wengine hatutaweza kushiriki muda huo tunakuwa kwenye vikao maalumu vya kitaifa. nachokuomba utueleze mgeni mtarajiwa ni nani by friday ili tufile maswali before hand.
 
wow Fina sasa wengine tuko mikoani tutakukosa sana ila nakukubali toka enzi za pb, mwambie Gerald amepwaya, hivi kwa sasa haumuonei huruma kuwa anahubiri asichokiamini?
 
Hongera, mi sijalipenda jina la kipindi, kwanin kinaitwa hivyo?? Simaanish mtafute jina la kiingereza, kiswahil kinatosha lakin jina hilo sijalipenda, em nishawish.!
 
Wachanganye wanasiasa mule..masuala la kuja kumualika mzee wa GOMBE WAHASIRA HATUTAKI,kachoka kisiasa.kipindi kijacho mtafute Lema ama filikunjombe.
 
Kwanza lazima nikiri kuwa sijawahi kukusikia ukiongea.

Kipindi safi sana na nashukuru ulihusisha watu wengi na kuanza kuuliza swali kama waweza kuliongelea swala la rushwa.

Great show and keep it up in this Dot com world.
 
Well done Fina!
Nimesikiliza clip zote mbili,actually the way ulivyoendesha kipindi,thats how serious journalist should be. BTW,partners(mates) wenzako kwenye kipindi wape call,wawe active zaidi ili mijadala/mahojiano yanoge zaidi.
Greet stuff!
 
Fina honey, samahani nimekosea siku nyingi nimekuwa na ndoto ya kukuita hivyo nadhani umenisamehe ila naomba wasije kukununua kama Gerald na Kivalley
 
Fina,

Vipi unaweza pia ukamjumuisha Kipanya katika kipindi? Manake nyie wawili mkiwa pamoja mnafanya kazi nzuri sana...rejea enzi zile mkiwa pamoja pale radioni.

Hongera sana na pia uzidi kukaza mwendo.

Ibambasi

Kwa sasa Kipanya anafanya kazi Redio nyingine si unajua mambo ya mikataba ya ajira. Nitafurahi pia kufanya nae kazi ka mara nyingine.

Asante sana kwa ushauri
 
Edson na wewe bado unakaugonjwa ka kufikiri kila mtu ni mkombozi??

yap! ikiwa huyo mtu atakuwa na total metanoia basi atakuwa mkombozi!!! vipi mkuu salama? n nimekusoma kule kwenye ile thraed ya msuguano wa tanznaia na malawi !! hahhahh..poa mkuu
 
Back
Top Bottom