VIDEO: Mahojiano na Mh. Zitto Kabwe katika Makutano Show

Nitasikiliza jmosi. Ila naomba mfanye kama star tv. Uweke mada hapa mapema na kutujulisha mgeni utakayekuwanae ili tuanze kuuliza maswali yetu mapema. Ila hilo la kutaja id zetu, ngoja nimalizie ndovu ya pili nirudi!
Filipo,
Sasa hata wewe mutoto ya Arusha unaogopa nini? mbona mlikesha NMC bila kuogopa mabomu na risasi za policcm!!??

btw, umetoa angalizo muhimu kwakuwa hiyo itamsaidia Fina kupata maswali/maoni in advance kwa ajili ya maandalizi ya kipindi chake cha Makutano Show kwa wale ambao wanaweza wasipate muda wa kusikiliza kipindi kitakapokuwa hewani.
 
Last edited by a moderator:
Fina.

Nina uhakika kuwa kama utaendelea kuuliza maswali yanayotoka JF basi utakuwa unawapokea wabunge na viongozi wa CHADEMA tu na viongozi wengine wa kijamii wasiofungamana na Siasa.

Lakini mialiko utakayoituma kwa Wabunge na viongozi wa CCM nina uhakika watakuwa na udhulu mwaka mzima na hawatakuja kwenye show.

Jamaa ni wachafu na wakishajuwa kuna maswali toka JF basi hawatothubutu.

Then please usije rogwa ukalialika William J. Malecela kufanya nalo mahojiano, japo nauhakika litakuwa lishajishaua kukuomba lije kwenye show yako.
Jamaa ni majnuun wahed, so ataharibu maana ya dhana ya show yako.

All in all kaza raba then bana nywele vizuri, mbio ni za mita 100 na wapinzani wako ni Asafa Powell, Justin Gatlin, Yohane Blake na lile jamaa lingine sitaki kulitaja jina coz jana limenichefua tena kwa kuweka 9:63...dah
 
Duh Fina hivi uliwahi kuwa member wa JF? Nataka tu kufahamu msukumo wa kuja kutoa shkurani humu kwanza na si kwingineko, maana feedback unayoipata humu itakupatia picha ya jinsi unavyotakiwa kuongoza kipindi ili kiwe "bomba mbaya" zaidi!

Invisible nawe kazi nzuri bana manake JF inakuwa bila mipaka sasa i.e. seamless integration with other media.
 
Edson

Website ya Magic FM inafanyiwa matengenzo kwa sasa lakini kabla ya kipindi kingine Jumamosi itakuwa hewani na tutaiweka hapa ili wadau wote muweze kusikiliza.


naisubiri kwa hamu sana hiyo link,maana huwa natamani sana kuzikiliza vipindi vyako na hiyo link itaniwezesha kuwa sambamba pindi uwapo hewani
 
Edson

Website ya Magic FM inafanyiwa matengenzo kwa sasa lakini kabla ya kipindi kingine Jumamosi itakuwa hewani na tutaiweka hapa ili wadau wote muweze kusikiliza.


Hongera sana Fina. Kazi nzuri,hope u gonna give us palatable and more delicious ''news''.
 
Fina hongera sana mdogo wangu, nilfatilia kipindi chako mwanzo mwisho, sioni wapi nikukosoe (ningependa nifanye hivyo kwa kuwa watu wengi wamekuwa all merry!!!) lakini sijapaona- hongera sana na keep up
 
unatakiwa ufanye kama startv wanavyo fanya. anzisha maada hapa jf na useme mgeni nani halafu uwe unasoma moja kwa moja coment kutoka jf na utaje aliye uliza. mia



[h=6]Heshima Kwako Mkurugenzi mtendaji wa bodi ya shida,
Afisa muandamizi wa matatizo ya ghafla.
Waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa Kimaskini.
Mweka-hazina wa Dhambi.
Mratibu wa uoga.
Raisi mstaafu wa mapenzi na udanganyifu wa hapa na pale.
Katibu mkuu wa madeni.
Balozi wa vishawishi.
Kiongozi wa malengo yasiyotekelezeka!
Nakusalimu tu..Za jioni Mheshimiwa?..!


[/h]
 
Huyo Zitto mwenyewe mbona hata hajachomekea shati?

Kama content yake uliipata haina shida, kama hukumuelewa kwa sababu hajachomekea jipange upya. Au ndo yale ya Rais anaye vutia badala ya mtenda kazi. Kweli waTz tunasafari ndefu.
 
Fina,

Shukrani kwa kututhamini wanaJF. Ningependa 1 day wajumbe wafuatao waje kwenye kipindi.
1. Kubenea,
2. Fanyeni mpango mumlete Irene wa SSRA tumuulize maswali ya msingi.
3. Nassari,
4, Mwigulu Nchemba
5. Sugu,
6. Filikunjombe.
7. Nape
8. Mukoba
9. Ikiwezekana mama Makinda
10. Slaa
 
ukipata nafasi uwachukue na wajinga wajinga kama mwigulu nchemba anaejiita msomi wa ccm na yule daudi lusinde wa mtera wapambanane na maswali ya jf tuwaeleze ukweli kma wamechoka hawana jipya tanzania ya leo, si ya enzi za afro shiraz part
 
Nakushauri ujiandae kupata maswali ya kukera kutoka kwa ndugu Ritz, Rejao, Zomba na MAMA POROJO, ila unashauliwa kuwavumilia kama jinsi sisi tunavyowavumilia.

hizo ndo changamoto zenyewe mkuu, yanaweza yakawa ya kukera but ukiyapima sana yakawa ni ya kujenga au kujifunza kitu fulani.
 
Hongera, mi sijalipenda jina la kipindi, kwanin kinaitwa hivyo?? Simaanish mtafute jina la kiingereza, kiswahil kinatosha lakin jina hilo sijalipenda, em nishawish.!

jina zuri sana dada fina, kweli kipindi kinabeba maana halisi ya maudhui yake “ kukutanisha watu maarufu ktk jamii ” na jamii inayowazunguka. jina zuri sana Hilo dada 'MAKUTANO'
AU Chiya chibi unataka jina la kwenu dodoma?
 
Karibu sana JF na hongera kwa kutushirikisha katika kipindi chako cha makutano show tutakushauri na kuchangia kwa umakini.

Tunaomba angalau siku mbili kabla utujulishe mgeni wako ni nani na uwe unabadilisha watu na kuweka wakada mbalimbali na usiwe kama mtangazaji flani kila siku yeye watu wake ni wale wale, tutakupa maswali/mchango mzuri wa kuboresha kipindi chako.

Pamoja sanaa
 
dada fina next time nakuomba ujitahidi utukutanishe na MWIGULU NCHEMBA au NAPE, Hawa wanasiasa jamii inataka kujua mengi kutokana na kauli zao za hivi karibuni. all in all nakupongeza kwa kazi nzuri wewe na dogo mussa kipanya.
 
Filipo,
Sasa hata wewe mutoto ya Arusha unaogopa nini? mbona mlikesha NMC bila kuogopa mabomu na risasi za policcm!!??

btw, umetoa angalizo muhimu kwakuwa hiyo itamsaidia Fina kupata maswali/maoni in advance kwa ajili ya maandalizi ya kipindi chake cha Makutano Show kwa wale ambao wanaweza wasipate muda wa kusikiliza kipindi kitakapokuwa hewani.
to be honest , maada walijitahidi kuiweka hapa jamvini mapema sana kwa mfano baadh yetu tuliochangia tuliiona hii tangu saa 4 asbh, kuwa saa 9 atakuwepo mh zitto ktk show, pengine kwa kuwa kilikuwa kipindi kipya wengi hawakuchukulia serious sana .nahisi nexk week mambo yatakuwa mazuri zaidi na maswali yatakuwa mengi
 
Last edited by a moderator:
jina zuri sana dada fina, kweli kipindi kinabeba maana halisi ya maudhui yake " kukutanisha watu maarufu ktk jamii " na jamii inayowazunguka. jina zuri sana Hilo dada 'MAKUTANO'
AU Chiya chibi unataka jina la kwenu dodoma?

Hata la Dodoma sio mbaya, tuna majina mazur. Anyway kama wenzangu mmelikubal sawa, ila inaonekana amelicopy Kenya kwenye kipindi flan ambapo huenda likamletea shida hasa pale watu watakapo anza kuchanganya story za kule na huku kwenye mambo tofauti. BIG UP
 
hujalipenda wewe,wabadilishe kwa ajili yako duh.!!!! Angalia kinachojadiliwa sio majina ya vipindi,wabongo bwana ndio maana mnachagua rais anetabasamu badala ya rais bora.
Kweli TZ tuna shida nyingi sana, ikiwemo kufikiri/kutafakari mambo. Ni wapi nimesema ABADIRISHE jina? Nimemuomba anishawishi Maudhui ya kipindi na jina alilolichagua kulitumia, ili nione kama vinaendana, may be naweza nikalipenda. Em wee MNDWADAGE niambie umelielewaje, au umekurupuka tu? Hujui jina la kipindi ni vema liendane na maudhui ya kipindi husika????

Karibu JF (GREAT THINKRS) naona ndo umeingia tu, ukiendelea hiv 'KUTOKUFIKIRIA KWANZA', Jamvi litakushinda. MWISHO, Sijawah kupoteza kura yangu kwa huyo mjomba ako aliyeanza kwa tabasamu na kumaliza kwa masononeko. KARIBU SANA.
 
Back
Top Bottom