Video: Kongamano la Katiba Mpya lafana huko Mwibara Musoma

Kama ilivyo ada , ile Taasisi bora ya Vijana barani Africa inayoitwa BAVICHA ambayo imechukua jukumu la kuongoza makongamano ya Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi nchini Tanzania kwa gharama yoyote , imefika Jimbo la Mwibara na kuendesha kwa mafanikio kongamano kabambe la Katiba mpya .

Ushahidi huu hapa

View attachment 1972464
naona kama wanaimba na kucheza tu, sioni kongamano lolote labda macho yangu yanahitaji miwani zaidi.
 
safi sana, Taifa letu litakombolewa na Vijana tena ni leo na si kesho - anayechukia upatikana wa katiba mpya - si mwenzetu, si mzalendo wa kweli...hana nia njema na taifa letu.

Tunaendelea....
 
Back
Top Bottom