VIDEO: Kagame apigwa mawe London

VIDEO: Kagame apigwa mawe London

Katika ishu hii ya msafara wa Kagame kutupiwa mawe, mie mwenzenu nimeiangalia kimtazamo mwengine kabisa. Hivi kama hii tabia ya kuwatoa mbio viongozi wabadhirifu wa mali za umma wa kiafrika ikienea nje za nchi, si kutakuwa na mtizamo mwengine kabisa?
 
Kwanza hao "FFU"😛ainkiller: WA Uingereza hakika wameiva na kazi yao coz wangekuwa wa hapa bongo (wa pinda muwapige tena nasema muwapige sana tu) hakika hao jamaa wanaoandamana wangechezea :boxing::fencing:
 
kagame ni gaidi na mafia hatari atuwezi kumjua kwa sasa ila baadae ndio tutakapojua ugaidi na umafia wake.
 
Hawa mbona ni wahuni wako 16 tu sasa hawa ni wahalifu tu hii sio heshima MIafrika mijinga saanaa..mbona Obama anaua kila siku hata kule Libya haiandamani mijinga sana ..



Somoche
Wewe ni mzungu au mwarabu? Makurya mengine bwana yakushalewa gongo yanakuwa majinga kinoma
 
Angefanyiwa Rwanda huko walio fanya hivi angewamaliza wote.
 
KAG.jpg




He looks so ferocious, his mouth is full of human flesh!!!
 
Last edited by a moderator:
Hata ingetokea Siku aliyoapishwa niaibu tupu,pia Kabila hili wananyodo zakijinga sana ,muone alivyo sura ya kwanini ,hana shukurani huyo siku zake pia zimekwisha za utawala ,iko siku atakuja kuomba hifadhi ,hawa wanapenda kunyenyekewa sana,msipoteze mda wenu na hawo
 
Lakini mbona jambo la maandamano pale kiongozi fulani anapokuwa haungwi mkono jambo lake nikawaida.jk alizomewa kama hivyo udsm.msafara wake ulipopolewa mawe huko mbeya.na makamuvwa raisi naye msafara wake ulioopolewa mawe mbeya na hata obama alipoenda sauzi watu wasauzi walifanya kama hivyo
 
I used to view Paul Kagame as a progressive and visionary leader kumbe he's just another Third World madman.
 
hakome..ata na mimi ningependa kumrushia mawe teh,teh
 
Back
Top Bottom