Hydrobenga
JF-Expert Member
- Jun 24, 2012
- 1,127
- 212
Waajaameni msiwe kama wanyarwanda na nyinyi, kutumia uongo kujipatia point nyepesi kisiasa. Kwanza hii ilikuwa ni mwezi May/June. (Nilikuwepo kwenye mkutano huu) na waliompiga mawe(hayakuwa mawe, ni mayai) hawakuwa wanyarwanda. Wakongo ndiyo waliomrushia mayai.
Wanyarwanda wa Uingereza wote ni watutsi, (sisemi kama hakuna wahutu, lakini mimi sijawahi kuwaona). Na Brussels nako ni hivyo hivyo, kuna siku wa-kongo walichachamaa wakawa wanatoa kichapo kwa wanyarwanda. Kwa ufupi, wanyarwanda wa Uingereza wote wanamuabudu Kagame na hawawezi kumtupia mayai "mawe".
Ahsante kwa kututhibitishia kuwa tukio liitokea...
Hembu tutafsirie yule Mtangazaji alikuwa anasemaje ?