Hydrobenga
JF-Expert Member
- Jun 24, 2012
- 1,127
- 212
Wadau.....sababu hasa ilikuwa nini?....isijekuwa wamekodiwa wamdhalilishe......mh Rais ambaye ni jirani yetu.........
Mdau tatizo jamaa sijui wanaongea Lugha Gani..
Lakini wale Jamaa kama si Warwanda basi ni Wa-Congo...
Wanadai jamaa ni Muuaji---nakisia tu sina uhakika