A Timeline of Events in Burundi (Part 3)

mchambawima1

JF-Expert Member
Oct 16, 2014
2,487
738
 
mchambawima1 bila kuweka uhusika wa kikundi cha waasi wa RPF, hii historia yako bado haisaidii kitu. Kwani sisi watanzania ndio tuliwapokea kipindi cha machafuko, tumeishi na makabila yote mawili. Kwa hiyo tunawajua tabia na hulka zenu. Mataifa mengine wataamini hii propaganda lakini ukweli unachokifanya hapa hakina tofauti na maadhimisho ya mauaji ya kimbari yenye dhumuni la kuwakumbuka watutsi.
lol... the choice is yours my friend... but make sure you bring facts... I am more than ready to debate with you guys but only FACTS!
 
what kind of facts do you intend to hear rather than truth.!!
anything that really happened
mchambawima1 bila kuweka uhusika wa kikundi cha waasi wa RPF, hii historia yako bado haisaidii kitu. Kwani sisi watanzania ndio tuliwapokea kipindi cha machafuko, tumeishi na makabila yote mawili. Kwa hiyo tunawajua tabia na hulka zenu. Mataifa mengine wataamini hii propaganda lakini ukweli unachokifanya hapa hakina tofauti na maadhimisho ya mauaji ya kimbari yenye dhumuni la kuwakumbuka watutsi.
wewe ndio unayetujuwa vibaya! jana nilikuwa natazama mpira na marafiki zangu watatu "wakitanzania" ambao niliwaalika waje kutazama mashindano ya CHAN2016, tumecheza na kusoma pamoja tangu tuko wadogo, uhusiano wetu ndio kwanza unazidi kuwa bora kadri siku zinavyoenda mbele... hivi tunatembeleana nchi kwa nchi, simu za kila wakati... BTW tulikuwa tukicheka kiwanjani kwa vi comments mlivyokuwa mkiandika wewe na jMali , niliwauliza hivi mbona kama vile Tanzania mmeingiliwa na wajaa chuki... rafiki yangu alinichekesha sana eti "ah! sinyie wenyewe ndio mlio watimua Interahamwe? wacha waandike chuki zao watachoka tuu halafu nao waje kula raha kwao"
 
The biggest lies in this stories, the hutu (the major tribe in Rwanda and Burundi) killed the tutsi and strangely now days Kagame a tutsi ruled the country while in Bujumburu Nkurunzinza face internal conflicts.!!

teh teh teh mimi sio interahamwe lakini ni miongoni mwa watanzania niliyoishi na wahutu na watutsi, wote katika nyakati tofauti. Kwa hiyo hulka zenu, watutsi zinafahamika kwa watanzania walio wengi. Historia yenu ni ndefu sana, lakini ni nani aliyetibua baada ya mambo kukaa sawa kabla ya mwaka 1994.?? Ni nani aliyeivamia Rwanda mwaka 94's na kusababisha mauaji ya marais wote wawili.?? Jamii zenu zimejaa visasi, kinachotokea leo Burundi ni suala la muda tu kwani hata Rwanda kitatokea miaka ijayo.
http://www.assatashakur.org/forum/b...report-role-france-1994-rwandan-genocide.html

Rwanda: at last we know the truth | Linda Melvern

good luck!
 
Back
Top Bottom