Hayo ni maoni yako na kama kuhukumiwa utahukumiwa nayoLengo la post ni kumpiga nyundo JPM , lakn jaman si tulipiga kampeni wote , tukatukana tukahamasishana , tukazomea .... Mda wa kupiga kura ukafika wananchi wakapanga foleni , matokeo yakatoka, wengine wakaamua kuondka kwenda ughaibuni Kula Maisha , JPM amebak na kuweka Sawa serikali yake nasi wananchi tupo tunapambana na Maisha kupata mkate wa kila siku ....
Lakn bado mnamuita dikteta, analambwa miguu , duuuh Aya bhana
Mbona umeruka swala la kuletwa kwa kura feki ili Jiwe awe Rais?Lengo la post ni kumpiga nyundo JPM , lakn jaman si tulipiga kampeni wote , tukatukana tukahamasishana , tukazomea .... Mda wa kupiga kura ukafika wananchi wakapanga foleni , matokeo yakatoka, wengine wakaamua kuondka kwenda ughaibuni Kula Maisha , JPM amebak na kuweka Sawa serikali yake nasi wananchi tupo tunapambana na Maisha kupata mkate wa kila siku ....
Lakn bado mnamuita dikteta, analambwa miguu , duuuh Aya bhana
Ingratitude by Tshalla Muana.Sasa hapo ungemkuta Luambo Makiadi na gitaa lake ndiyo ungeshangaa kabisa anavyomsifu Mobutu.
Hapa kwetu siku hizi huwa tunaimba kale kanyimbo ketu pendwa kanasema hivi "Tuna Imani"
Tuna Imani na Magufuli Oyaa oyaaa oyaaa!
Tuna Imani na Lowassa Oyaa Oyaa Oyaaaaaa!
It's just a Monkey Business and a load of baloney.......
Nishakupiga ban tayari