Video iliyopelekea NIFFER kukamatwa

Video iliyopelekea NIFFER kukamatwa

Usiuze uoga baki nao hapohapo nyumbani kwenu usiwauzie wengine
Naomba kuona account zako za X na mitandao mingine kama unafanya unayoyafanya humu TENA KWA MAJINA YAKO HALISI..... Jf inawafanya wapumbavu kujiona mnajua sana na vpn za bure.
 
Acha kupiga watu beat hapa.... uwezi kuimili maoni ya wengine, ni bora ukae mbali na mitandao.... unaleta pigo za kiduwanzi alafu ukijibiwa unaleta vitisho, utafilimbwa siku moja
 
Kuna haja ya watu kufanya maisha na sio masihara mitandaoni.... Sikubaliani na kukamatwa kwake ila kaidhihaki taasisi ya urais, kwa watu alionao mtandaoni kwa maana nyingine kaidharau taasisi na mamlaka kwa ujumla mbele ya wafuasi wake.

Hii huenda aliifanya for funy hakujua nini kitafuata ila asishangae ikavuruga mambo yote aloyapambania kwa muda mrefu kwa ujinga wa sekunde 30 tu. Tunahitaji kuwa brave sana na mitandao hasa ya wazi huu ndo ukweli mchungu hakuna uhuru huo unaodhani unao linapokuja swala la kuilinda dola.

Kama unabisha toka humu kayafanye unayoyafanya ukiwa known
Mbona hamna kosa alilolifanya hapo
 
Sidhani kama ingekuwa ni hii hii ingefanya akamatwe...
Kuna wanaoshinda mitandaoni wanasema kuna posti kazifuta, sasa sijui alikuwa anasema nini au kaandika nini....
 
Acha kupiga watu beat hapa.... uwezi kuimili maoni ya wengine, ni bora ukae mbali na mitandao.... unaleta pigo za kiduwanzi alafu ukijibiwa unaleta vitisho, utafilimbwa siku moja
Dada kitisho kiko wapi hapo..... Tunajifanya wajuaji saana humu kelele nyingiii nje ya hapa hamna lolote.. ni wale walewale wafi... R*#$@ji tu
 
Ila idea kali sana uyo mama hamnazo hv katokea wapi ?
Tz inashuhudia rais mbovu kuliko wote nipeni mabomu nimzamie apo mwanza
 
Kuna haja ya watu kufanya maisha na sio masihara mitandaoni.... Sikubaliani na kukamatwa kwake ila kaidhihaki taasisi ya urais, kwa watu alionao mtandaoni kwa maana nyingine kaidharau taasisi na mamlaka kwa ujumla mbele ya wafuasi wake.

Hii huenda aliifanya for funy hakujua nini kitafuata ila asishangae ikavuruga mambo yote aloyapambania kwa muda mrefu kwa ujinga wa sekunde 30 tu. Tunahitaji kuwa brave sana na mitandao hasa ya wazi huu ndo ukweli mchungu hakuna uhuru huo unaodhani unao linapokuja swala la kuilinda dola.

Kama unabisha toka humu kayafanye unayoyafanya ukiwa known
Kulinda dola? Hapo amehatarishaje mustakabali wa dola? Hakuna lyrics zinazohatarisha hata maisha za sisimizi kwenye huo wimbo, yaani kaanza kula kichapo brutal hapahapo dukani kwake mpaka damu kibao je wakimfikisha huko ambapo hakuna raia anayeona? Hakuna justifications za mtu kuchukuliwa kisa kacheza mziki ambapo wala hajavaa provocatively. Angeitwa BASATA basi kama wanavyoitwa wengine na aelezwe kosa lake.
 
Atekwe kwa lipi,huyo ukute analiwa nya tu huko na mabasha wake mnaleta kelele hapa.
Hata hiyo video hamna cha ajabu kafanya zaidi ya kutingisha mitako yao hio yenye UTI sugu.
 
Back
Top Bottom