makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 36,015
- 104,615
Sijaona kosa ama ubaya kwenye hiyo video
Kadharau na kudhihaki mamlaka kuu ya Nchi!! Yule msichana ana Kiherehere kibaha sana natamani wamsage sageKuna haja ya watu kufanya maisha na sio masihara mitandaoni.... Sikubaliani na kukamatwa kwake ila kaidhihaki taasisi ya urais, kwa watu alionao mtandaoni kwa maana nyingine kaidharau taasisi na mamlaka kwa ujumla mbele ya wafuasi wake.
Hii huenda aliifanya for funy hakujua nini kitafuata ila asishangae ikavuruga mambo yote aloyapambania kwa muda mrefu kwa ujinga wa sekunde 30 tu. Tunahitaji kuwa brave sana na mitandao hasa ya wazi huu ndo ukweli mchungu hakuna uhuru huo unaodhani unao linapokuja swala la kuilinda dola.
Kama unabisha toka humu kayafanye unayoyafanya ukiwa known