Video iliyopelekea NIFFER kukamatwa

Video iliyopelekea NIFFER kukamatwa

29 ,Waandamani Muwe wamoja UMOJA ndio maana Kwenye Askari Nembo zao Zimeandikwa umoja . Msitoke kama kukuku jikusanye muwe wengi .
 
Kuna haja ya watu kufanya maisha na sio masihara mitandaoni.... Sikubaliani na kukamatwa kwake ila kaidhihaki taasisi ya urais, kwa watu alionao mtandaoni kwa maana nyingine kaidharau taasisi na mamlaka kwa ujumla mbele ya wafuasi wake.

Hii huenda aliifanya for funy hakujua nini kitafuata ila asishangae ikavuruga mambo yote aloyapambania kwa muda mrefu kwa ujinga wa sekunde 30 tu. Tunahitaji kuwa brave sana na mitandao hasa ya wazi huu ndo ukweli mchungu hakuna uhuru huo unaodhani unao linapokuja swala la kuilinda dola.

Kama unabisha toka humu kayafanye unayoyafanya ukiwa known
 
Usiuze uoga baki nao hapohapo nyumbani kwenu usiwauzie wengine
 
hii challenge tiktok imefanywa na watu wengi sana aisee
 
Kutekwa ni tendo la kumchukua mtu kwa nguvu au kwa hila bila ridhaa yake, kwa nia ya kumdhibiti, kumficha, au kumtumia kwa shinikizo fulani. Kwa Kiingereza, huitwa “abduction” au “kidnapping.”
basi tuwachie vyombo ya usalama walitizame hilo dai
 
Back
Top Bottom