Maghayo
JF-Expert Member
- Oct 5, 2014
- 13,915
- 29,610
Kwa nini? Ama wewe ndiye huyo waziri mwenyewe?!Nadhani hii haihusiana na kiwango cha elimu ya mtu,
Kwa nini? Ama wewe ndiye huyo waziri mwenyewe?!Nadhani hii haihusiana na kiwango cha elimu ya mtu,
Si weweNani?
Je huko hakuna jangwa hapa namaanisha wanapataje majiHakika nchi inafunguka kweli kweli chini ya Rais Samia Suluhu Hassan, Kwawale msiopenda nchi yetu ipate maendeleo kama mtaji wenu wa kisiasa awamu hii mtateseka sana.
<<<Angalia mpaka mwisho >>>
View attachment 2013760
Hakika nchi inafunguka kweli kweli chini ya Rais Samia Suluhu Hassan, Kwawale msiopenda nchi yetu ipate maendeleo kama mtaji wenu wa kisiasa awamu hii mtateseka sana.
<<<Angalia mpaka mwisho >>>
View attachment 2013760
Ushahidi gani mkuu?Hebu weka ushahidi hapa,laa sivyo ni Udaku tu.
View attachment 2015742
Hayo mambo yalifanywa na Mjaliwa na hadi Misiri wakapewa mradi ya rufiji.Kuna watu wanaumia sana nchi hii, Huenda wakaumia zaidi, Huyu mama anafanya zaidi ya matamanio na matarajio yao
Kama lengo ni kujifunza si angetuma technical personnel. Rais anajifunze digital platforms kwa ajili ya nini?Hakika nchi inafunguka kweli kweli chini ya Rais Samia Suluhu Hassan, Kwawale msiopenda nchi yetu ipate maendeleo kama mtaji wenu wa kisiasa awamu hii mtateseka sana.
<<<Angalia mpaka mwisho >>>
View attachment 2013760
niniHayo mambo yalifanywa na Mjaliwa na hadi Misiri wakapewa mradi ya rufiji.
So; Mama amerudia tu.
Naonana kila raisi anamchango wake wa pekee.Narudia tena na tena, Tangu Tanzania iwe huru haijawahi kuwa na Rais bora namna hii
Hata wanaopinga wanakubali kimoyomoyo
Mama Chapa kazi tu
Sio rahisi kuweza kutamka kila jina namna linavyotamkwa huyo Mama yupo njema sana kwenye lugha ya malkia ambayo ndio kiswahili cha dunia.Ushauri wa bure: Kutamka sahihi majina ya watu, hasa wakuu wa nchi ni kielelezo kikubwa cha jinsi ya elimu yako ya yanayojiri duniani, jinsi unavyowaheshimu au kuwajali na jinsi ulivyo serious. Hapa Waziri wetu wa Mambo ya nchi za Nje anamtamka rais wa Misri "Ali Alsis' jina ambalo ni tofauti kabisaa na linavyoandikwa na kutamkwa. Kweli, kama kiongozi wa dilomasia huwezi kuchukua dakika kumi ukasikiliza linavyotamkwa? Tena siku hizi hata kwenye Google wanakupa matamshi. Ni kwa sababu hiyo hiyo walimpotosha rais naye akalitamka ' Al-sis' badala ya 'As siisi', nikaona midomo ya baadhi ya Mawaziri wa Misri ina 'pout' kwa kumsikia mgeni anashindwa kutamka jina la mwenyeji wake! Kama Waziri wa Mambo ya nchi za Nje lazima utamke sahihi majina ya viongozi unaokutana nao au anaokutanan nao rais, no excuses!
Halafu Misri siyo kama Comoro kuwa rais wake hajulikani. Ni nchi ambayo kila siku iko katika vyombo vya habari duniani.
Watanzania tuna tabia iliyojikita ya kuchukulia kila kitu kuwa kawaida tu, noma, bila kujiandaa au kujiandaa dakika ya mwisho. Ndiyo maana hatuendi popote!
Nakubaliana na wewe 100%Sio rahisi kuweza kutamka kila jina namna linavyotamkwa huyo Mama yupo njema sana kwenye lugha ya malkia ambayo ndio kiswahili cha dunia.
Mkuu ukweli ni upi?Ningeomba sana mchango wangu kuhusu kinachoandaliwa kati ya serikali yetu na Egypt uwekwe hai kwa muda usioungua miaka mitano lakini ifike hata kumi.
Egypt ni nchi yenye siasa hatarishi sana kwa nchi zote zilizoko chini ya jangwa la sahara. Kila ujanja unatumika kusimamisha maendeleo ya nchi nyingi za Africa. Wao hujiona ni waarabu na siyo waafrika. Nchi yoyote ambayo mto Nile umepitia ikigusa yale maji kwa mradi wa maendeleo ya nchi husika hujikuta kwenye matatizo, ujasusi wa kila aina utafanyika hata kusababisha vita ya wenyewe kwa wenyewe. Sitataja mfano kwani upo ulio hai. Mkataba wa kujenga mtambo wa kufua umeme tumewapa inasemekana wameujenga kwa mitabo chakavu ya miaka 1980. Tungoje tuone utatufaa kiasi gani. Ninaamini kabisa pale tumepigwa tena vibaya. Sasa tumejipeleka wenyewe kwenye mdomo wa chatu.
Mama anajiuza mwenyewe mbona?Mnatumia nguvu kumuuza bibi yenu
Kaziiendelee iendelee kwa kasi hii hiiHakika nchi inafunguka kweli kweli chini ya Rais Samia Suluhu Hassan, Kwawale msiopenda nchi yetu ipate maendeleo kama mtaji wenu wa kisiasa awamu hii mtateseka sana.
<<<Angalia mpaka mwisho >>>
View attachment 2013760
Hata wakat wa dikteta ulisema hivi hiviNarudia tena na tena, Tangu Tanzania iwe huru haijawahi kuwa na Rais bora namna hii
Hata wanaopinga wanakubali kimoyomoyo
Mama Chapa kazi tu
Ukitaka kushirikiana na WaMisri unatakiwa kuwa makini sana! TENA SANA!Mkuu ukweli ni upi?