Chakaza
Platinum Member
- Mar 10, 2007
- 41,019
- 74,692
Kuna bwana mmoja aling'ang'ania kuwa bidhaa za China ni fake tupu, alipopewa risasi aijaribishe kichwani kama ni fake hakuna aliyejua ametoka kupitia mlango gani.Wana cheza na uhai hawa
Kuna bwana mmoja aling'ang'ania kuwa bidhaa za China ni fake tupu, alipopewa risasi aijaribishe kichwani kama ni fake hakuna aliyejua ametoka kupitia mlango gani.Wana cheza na uhai hawa
Your contention is subject to proof thereof!
Yeye kasema kama kioo kiko hivyo sembuse body ya gari. Lakini tunahitaji ushahidi kuwa body iko hivyo. Nilitegemea majaribio yafanywe gari lote. Nadhani wanatuonyesha bullet proof kioo tu!Ungeongea kiswahili tu mkuu
Hukuwa makini sana nimetazama kwa uzuri ila amerudia mara moja nami nimejawa na mashaka kama kuna mvua ya risasi na kurudia zaidi ya mara tatu matokeo yake sijui yapoje?!Amazing, nimeangalia kwa makini hivi mpiga risasi akirudia kulenga alipolenga risasi, je risasi haiwezi kupenya?
Kiini macho cha risasi za plastiki
hii ni gari isiyopitisha risasi ilijaribiwa kwa mtu kukaa ndani kisha kuniminiwa risasi kadhaa
Mkuu kama kwenye kioo wameweza kuzuia itashindikana vp kwenye body nzima
Mi ningemwambia aingie yeye nikapige Mimi risasaJamaa katulia tu kwenye usukani wala haogopi!
pengine itapenya, ila nadhani lengo lake ni kumlinda mtu one time akishambuliwaAmazing, nimeangalia kwa makini hivi mpiga risasi akirudia kulenga alipolenga risasi, je risasi haiwezi kupenya?
Hahaha kumbe nawe ni comedianKuna bwana mmoja aling'ang'ania kuwa bidhaa za China ni fake tupu, alipopewa risasi aijaribishe kichwani kama ni fake hakuna aliyejua ametoka kupitia mlango gani.
demo kwa publicHili ni zoezi LA kishamba because hizi materials zinajaribiwa kabla ya mounting, hiyo ni mikwara tu
Mie ndugu yake mpaka nijue!!?Ben Saanane yuko wapi?
Kwani mmeshamwachia! Chondechonde na kucha zake!Mkulima gani masaa 19 yupo jf !!?
Vipi Ben mmempata?
Amepotea au ameshikwa?Kwani mmeshamwachia! Chondechonde na kucha zake!
Digitali sio huko kwenu tuu mjini hata huku shamba. Nalima huku katekno kangu kako kiunoni na nime subscibe neno MOTOCHINI, uki comment tuu kasimu kanabip ti ti ti.Mkulima gani masaa 19 yupo jf !!?
Vipi Ben mmempata?
Huyo jamaa ametulia ndani mm hapo sikai kibongo bongo usijefanya hilo jaribio
Wangeweka mbuzi .......hata ww usingeangaliaDu maisha haya, sasa wanyama sio issue, ila issue ni sisi kwa sisi