Video Games zimeniathiri mahusiano yangu

Video Games zimeniathiri mahusiano yangu

Ila sikulaumu Sana
Kuna mwingine anaachwa kisa ulevi
Kuna mwingine anaachwa kisa umalaya kwa
Kuna mwingine anaachwa kisa u-bussy na kazi
Kuna mwingine anaachwa kisa kutokujali
Kuna mwingine anaachwa kisa kupenda mpira
Kuna mwingine anaachwa kisa hajui kitandani
Kuna mwingine anaachwa kisa hamtoi out

Kila mtu na udhaifu wake
 
Nilianza na FIFA 8 Mpaka sasa...ukijielewa mambo ni safii kabisa.
 
isije ikawa wewe ni mmoja wa watoto wangu manake wao muda wote ni video games
 
Nakushauri endelea kucheza game mademu wazinguaji tu , kama hataki kukubaliana na unachokipenda akae tu pembeni.
 
Deal na game moja tu/show na huyo binti achana na video games mz.
 
Games, movie, cartoon (animation) na muziki siyo utoto bali ni hamu na mazoea na wengine addiction.
Kwa mfano kuna jamaa alitizama movie ilivyofika Saa saba usiku umeme ukakatika akaulizia mtaa upi una umeme akabeba PC akaita boda boda akasepa
😂😂😂😂huyo jamaa anatisha.
 
Ngoja nae apate mcheza gemu la mwili wake,.... hyo ndo solution
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom