KAWETELE
JF-Expert Member
- Dec 11, 2015
- 739
- 1,796
sure mkuu... haina uhusiano hata kidogoHuu uzi ukisoma comments tu unajua Born Town na wakuja yaani playstation kucheza na umri vina relate vipi?View attachment 1618592View attachment 1618593
sure mkuu... haina uhusiano hata kidogoHuu uzi ukisoma comments tu unajua Born Town na wakuja yaani playstation kucheza na umri vina relate vipi?View attachment 1618592View attachment 1618593
Wapi huko kaka na mimi niingiekuna ps3 nimeibid mtandaoni kwa £25 mnada unaisha baada ya siku 5 nasubiri kama nikishinda ije na games zaidi ya 10
Najua hapo mkuu...Mama swalehe kantandika nne leo FIFA 21 hio [emoji16] View attachment 1618854
Bwana eehNajua hapo mkuu...
Ulijitia mjanja, ile we chukua Chelsea mi nachukua kitimu kidogo.
Kilichokupata ni hicho.....
Eti game zote mbili....tunyooshee vizuri.Bwana eeh
Acha kabsa namnyoosha Sana [emoji16]
Sirudii ujinga Tena
Namnyoosha kwenye game zte mbili [emoji16][emoji16][emoji38]
Amna anafunga Hadi free kick huyu mwanangu [emoji38][emoji38] habahatishi AniEti game zote mbili....tunyooshee vizuri.
Ila nna uhakika watu waliobahatisha huwa hawakubali kucheza tena.
Daaah hatari saaaanaMama swalehe kantandika nne leo FIFA 21 hio [emoji16] View attachment 1618854
Naendelea kukichafua na mamiloo apa [emoji28][emoji28]Wanaohusisha kucheza game na utoto, ndio wenye utoto kichwani. Mimi naweza kuhusisha kucheza game na ushabiki wa mpira, hauna kikomo cha umri.
Cha muhimu ni kujaribu kujaribu kupunguza addiction hiyo, jaribu kucheza game muda ambao uko pekee yako. Mkiwa wawili fanyeni shughuli ambayo itawafurahisha pamoja na kukusahaulisha games.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] huyo tukikutana tutakuwa marafiki walai.Games, movie, cartoon (animation) na muziki siyo utoto bali ni hamu na mazoea na wengine addiction.
Kwa mfano kuna jamaa alitizama movie ilivyofika Saa saba usiku umeme ukakatika akaulizia mtaa upi una umeme akabeba PC akaita boda boda akasepa
Siyo utoto, kama haujawai kuwa mpenzi wa games hauwezi jua utam wa game. Game unakua nayo na unazeeka nayo.Umenikumbusha movie ya Ted,
Nampa pole huyo mpenzi wako kwa kudate na mvulana, wa kupewa ushauri ni yeye, aidha akuvumilie hadi ukue au akuache,
Kama akikubali kukuvumilia na wewe jaribu kumshawishi azipende hizo games kwa kucheza pamoja ili mje kua kama mazombie humo ndani.
Ni ushamba tuHuu uzi ukisoma comments tu unajua Born Town na wakuja yaani playstation kucheza na umri vina relate vipi?View attachment 1618592View attachment 1618593
Bro PS 1 Drogba ana bega kama box na ni mweupe uta relate vipi na PS 4 Hadi coach yupo.Ni ushamba tu
Nyinyi wakuja ndo mnapenda hizo
Sie tulioanza na PS 1 tushapita huo uraibu tangu shule ya msingi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umenikumbusha movie ya Ted,
Nampa pole huyo mpenzi wako kwa kudate na mvulana, wa kupewa ushauri ni yeye, aidha akuvumilie hadi ukue au akuache,
Kama akikubali kukuvumilia na wewe jaribu kumshawishi azipende hizo games kwa kucheza pamoja ili mje kua kama mazombie humo ndani.