Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 30,834
- 56,352
Endelea kucheza game.. utaoa games
Hujajua kama games ni mpango maalumu wa kufanya watu wawe kama zombies,
Mimi mtu hawezi nishawishi hata kidogo, kitu cha kuumiza akili yangu halafu i gain nothing hua sikipi nafasi.
Namaanisha kuachana na mpenz wako kisa game n utoto
Masaa 7! Daah watu mnajua kuchezea muda walai,hahahaha basi mimi kile kitendo cha kuiumiza akili ndicho nakipenda na huwa nina tabia moja sikubali kushindwa mission ya kwenye game naweza tumia hata masaa 7 ili tu nishinde
Masaa 7! Daah watu mnajua kuchezea muda walai,
Hongera sana.
Huu uzi ukisoma comments tu unajua Born Town na wakuja yaani playstation kucheza na umri vina relate vipi?View attachment 1618592View attachment 1618593
Kumi na sabaUna miaka mingapi?!
Game ni burudani kama burudani nyingine tu,..toi muh is harmfull kwa kila kitu.Hujajua kama games ni mpango maalumu wa kufanya watu wawe kama zombies,
Mimi mtu hawezi nishawishi hata kidogo, kitu cha kuumiza akili yangu halafu i gain nothing hua sikipi nafasi.
Mbona unamjibia...?Kumi na saba
Mkuu embuu waambie hawajui kabisaa aiseeeti mazombie[emoji28],hamjui tu utamu wa Games nyie,yani sisi wacheza games tunavozipenda ni kama wanywaji wanavopenda beer.nikicheza Games nahisi furaha na amani sana
Mkuu umetishaa watu wanajiona wakubwa maaana hawachezi games haha Tanzania yanguHuu uzi ukisoma comments tu unajua Born Town na wakuja yaani playstation kucheza na umri vina relate vipi?View attachment 1618592View attachment 1618593
Mdaa Nampa mkuu sema yeye anaona bado hautoshiiKuna mtu anasema Games Utoto....
Afu kutwa nzima yupo Instagram.
Inategemea na kazi mtu unazofanya kila siku.
Mkuu na wewe umezidi lakini, mpe mda wako basi ajiskie na yeye.
Games zinachezwa na mtu yeyote yule haijlishi umriakuache ukue kwanza