Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,319
- 3,432
To me its the best game of the century hyo inapatikana kwenye platform ya PlayStation tuUncharted
To me its the best game of the century hyo inapatikana kwenye platform ya PlayStation tuUncharted
GTA V tu mkuu tafuta uwe true gamer......Mortal Kombat
IGI
IGI 2
Need For Speed
Need for Speed Porche
Need for Speed Most Wanted
Need for Speed 2015
Virtual Cop
GTA 3
GTA Vice City
GTA San Andreas
Call of Duty 5 World at War
Call of Duty 3 Modern Warfare
Call of Duty 4 Modern Warfare
Fifa 12,13,14,15,16
PES 12,13,14,15,16
N.k
Dah aisee hiyo need 4 speed play back nimeichek8 youtube ni shida aisee.Habari za jion wakuu
yaani wakuu nimekua mpenzi sana wa video games mapaka nashindwa kuelewa mapaka sasa nmimeshacheza video game nyingi sana
call of duty modern warfare 1,2,3,4
call of duty blacks ops 1,2,3
Need for speed most wanted 2005,2012
Need for speed hotting pursuit 2010
Need for speed shift 1,2
Need for speed Rivals 2013
Need for speed the run 2011
Need for speed deluxe 2015
Battle of field 1 na 2
Pess 2013,2015, 2016 2017
Fifa 2014, 2016, 2017
Hit mAN
IGI
far cry 3
fallout 4
Euro track
now nasubiria
Need for speed play back
FIFA 2018
PESS 2018
Hizi game utaweza kuzicheza ukiwa na processor ya Maana
Compture yangu ni HP pavilion G6 core i5
PROCESSOR 2.4
Ram 8 GB
GRAPHIC CARD AMD 1.5 GB
Tatizo PC MkuuGTA V tu mkuu tafuta uwe true gamer......
console ndo mpango mzima tafua ata chipped ps3Tatizo PC Mkuu
Hili swali limekaa kimtegoEuro Truck Simulator imecheza mpk level ya ngapi?
Hii mwanzoni tu inanizinguaGTA V tu mkuu tafuta uwe true gamer......
kivip? haifunguki au lag?Hii mwanzoni tu inanizingua
Naikumbuka mkuu,nliicheza kitambo kidogo,dogo anasoma boarding school(bullworth)shule ina wababe kibao,gemu tamu sana hasa kwa sie tuliolopitia shule za bweni mazingira yanayofanania na ya bullworth.
Wakuu nani kacheza watch dogs?
Sijui ni ipi hiyo mkuu naicheza kwenye ps3Mkuu naitafuta unayo ipi hiyo mkuu
Sijui ni ipi hiyo mkuu naicheza kwenye ps3
Kwa mimi binafsi naona bora nitafute PC sababu nitakuwa na matumizi nayo mengi sana tofauti kuwa na console.console ndo mpango mzima tafua ata chipped ps3
Embu tupia picha ya hako kadude.Game karibu zote zilizotajwa humu nimeshazicheza na ka min pc kangu wengi nikiwaonyeshaga hawaamini..hata mi mwenyewe sometimes nakashangaa.. Saiz ndo naona kwenye pes 2018 kidogo kanaleta lags na fifa 17 ndo kalinigomea kabisa sidhani kama 2018 katakubali.. Ila fifa nyingine zote kanacheza na pes zote kanacheza za magari zote kamemaliza mpaka series ya dirty kamepiga hadi no 4, hizo call of duty sjui gta( kasoro gta v sjajaribu maana nimeona gb kubwa mno), kina max Payne, gti zote, need for speed zote(kuna moja ile ya the run nikajua katazingua ila kakapiga yote bila lag) na ma game mengine mengi tu kamepiga ..kana gb 6 ram(4 nimefanya kuongeza kalikuwa na gb 2 tu) , hakana gpu, graphics ni intel na processor ni 2. 4 dual core.. Nilikanunuaga laki 5 tu.. Noma sana..