Video games ambazo mpaka sasa nimeshacheza

Video games ambazo mpaka sasa nimeshacheza

Soon nikimaliza sniper ghost warrior 2. Naomba mwenye kujua game za vita (war/shooting) zitakazo run kwenye hii mashine hapa.. Now nashusha just cause 2

Core 2. Quad
Invidia geforce gt520 1gb. Ddr3
Ram 4gb

Mnilistie kabisa.
 
Hii mbona yabarid...

Anza COD seriez kwanza...kisha malzia na battlefield seriz..utakua pure mjeda[emoji16]

Chek hii trailer

World war 3

Problem nyingi zinataka core i series processor. But naona baadhi zitakubali.
 
Problem nyingi zinataka core i series processor. But naona baadhi zitakubali.
Basi cheza cod anza world at war,MW2,MW3 ,MW4 baada ya hapo njoo cod ghost,alaf njoo cod black ops 1na ya 2 basi...hizo ndio utaweza cheza kwako
 
Games ambazo nimecheza mpaka sasa
Need for speed * most wanted
* most wanted 12
* The run
* Rivals
Just cause 2
GTA V
Sniper ghost warriors 2
Sniper elite 3
Call of duty black ops 1,2,3
Call of duty ghost
Call of duty warld at war
Call of duty advanced warfare
Battlefield 3,4
Medal of honor
Medal of honor warfighter
Metal gear solid v
The amazing Spider-Man 1,2
Spider man edge of time
Uncharted 2
Infamous 2
Fifa 2018
Blur
God of war ascension
Tom Clancy ghost recon future soldier
Resident evil 5
**Kwa sasa namalizia SPLINTER CELL BLACKLIST
Platform PS3
 
Daaah blacklist naitamani leo kesho.
 
nimeanza kuzicheza Metal Gear solid V dah game ni kali kinoma kwanzia story na graphics sio mchezo
nilidownload metal gear solid v ground zero nikaimaliza kwa siku mbili game ilikua na mission nne tuu. dah nikaona game ni kali balaa muendelezo wake ni metal gear solid v phantom pain iyo ndo kali balaa naidownload sasa ipo asilimia 46%
s.PNG
 
View attachment 803760
halafu pes 2017 kuna min patch ya next season 2019. mb900. itafute imetulia kama huna
 
nimeanza kuzicheza Metal Gear solid V dah game ni kali kinoma kwanzia story na graphics sio mchezo
nilidownload metal gear solid v ground zero nikaimaliza kwa siku mbili game ilikua na mission nne tuu. dah nikaona game ni kali balaa muendelezo wake ni metal gear solid v phantom pain iyo ndo kali balaa naidownload sasa ipo asilimia 46%
View attachment 803760
hivi assassin creed iv wewe umeielewa. mi naona kama walizingua. afadhali ya creed iv rogue.
 
Habari za jion wakuu

yaani wakuu nimekua mpenzi sana wa video games mapaka nashindwa kuelewa mapaka sasa nmimeshacheza video game nyingi sana
call of duty modern warfare 1,2,3,4
call of duty blacks ops 1,2,3
Need for speed most wanted 2005,2012
Need for speed hotting pursuit 2010
Need for speed shift 1,2
Need for speed Rivals 2013
Need for speed the run 2011
Need for speed deluxe 2015
Battle of field 1 na 2
Pess 2013,2015, 2016 2017
Fifa 2014, 2016, 2017
Hit mAN
IGI
far cry 3
fallout 4
Euro track

now nasubiria
Need for speed play back
FIFA 2018
PESS 2018

Hizi game utaweza kuzicheza ukiwa na processor ya Maana

Compture yangu ni HP pavilion G6 core i5
PROCESSOR 2.4
Ram 8 GB
GRAPHIC CARD AMD 1.5 GB
mkuu kama unazo uko wapi nikutafute kwanza au usha zifuta

call of duty modern warfare 1,2,3,4
call of duty blacks ops 1,2,3

Need for speed hotting pursuit 2010
Need for speed shift 1,2
Need for speed Rivals 2013
Need for speed the run 2011
Need for speed deluxe 2015
Battle of field 1 na 2

far cry 3
fallout 4
 
ivii IGI 3 ipoo aisee maana naisaka siipati kabsaa !!!???
Mbaya sana, mimi niliona mizinguo tu nikaachana nayo, eti mnaenda kama unit, sijaona radha yake kabisa, moja kati ya Game ngumu nilizowahi kucheza ni IGI 2. Ilinibidi nitafute cheats ili nimalize hii Game.
 
hivi assassin creed iv wewe umeielewa. mi naona kama walizingua. afadhali ya creed iv rogue.
Ni walewale wafamia ya kina kenway kama ulicheza assassins creed 3 hii 4 utaielewa sema hii imejikita sana na shughuli za baharini yani unakuw a pirate(Haramia)
kwa kweli story yake ni nzuri tuu inaelewaka sema zile ship kama Man o War zinanisumbua mpaka niupgrade jackdaw
 
story naielewa kwamba kenway ni babu yake connor.
mi mision za mameli ndo naonaga usenge hadi nimelifuta.. kuna mision nilikwama alimtail kamanda mmoja ikafika sehemu ikabidi amfukuze kwa miguu. basii hapo pamenisumbua hadi leo sijkavuka hiyo mision.
 
Back
Top Bottom