Video games ambazo mpaka sasa nimeshacheza

Hivi kwa pc yako ina-specifications gani?
Mi ya kwangu nime blow mapigo naona games nyingi ni kubwa kwa sasa ... hata kudownload tu magemu sifanyi hivyo kwa sababu hayatacheza.

Pc yako ina specifications gani maana naona hayo magemu yanahitaji pc si ya kitoto.

Na hizo call of duty waweza cheza kwa kutumia playstation? Mi naona ni taabu katika aiming
lapto top yangu iko vizuri mkuu ndo mana nina uwezo wa kucheza hizo game zoote
 
Hivi kwa pc yako ina-specifications gani?
Mi ya kwangu nime blow mapigo naona games nyingi ni kubwa kwa sasa ... hata kudownload tu magemu sifanyi hivyo kwa sababu hayatacheza.

Pc yako ina specifications gani maana naona hayo magemu yanahitaji pc si ya kitoto.

Na hizo call of duty waweza cheza kwa kutumia playstation? Mi naona ni taabu katika aiming
PC YANGU
i5 3ghz
6gb ram
GTX 1030
BUT zile games kubwa kabisa nachezaga kwenye PS4 tu wala sina shida
nakushauri kama unataka kucheza games zote nzuri mpya tafuta ps4 au x box one
 
Nashukuru... hivi kwa ps4 games za first person kama thief na call of duty waweza cheza? Mi naona kama kutumia pad kwa hizo game ni shida.....

Nimeona kununua ps3 au ps4 inaweza kuwa rahisi sema ni games za sports kama fifa na third person games ni rahisi kucheza na pads ila first person shooters naona haiwezekaniki kuchezeka
 
duh kweli nimezeeka.. enzi za secondary kila likizo nilikuwa nashinda ndani na cd yangu ya games na nacheza tu.. toka enzi za ps1 primary, ps 2, na ps3 enz za sekondari..

na xbox one niliyoinunua mwenyewe baada ya kuanza kujitegemea.. japo siichezi sana sina muda kabisa.

katika maisha yangu kama mcheza game.. game kali kuliko zote niliyowahi kucheza ni God of war 1.. kidogo na God of war 2 enzi hizo ps2 kwenye ubora wake...

na mwisho kabisa God of War 3.. ambayo ilikuja kwenye ps3... bonge la game...

enzii za ps1 game kali kuliko zote kuicheza ni Dino Crisis na Metal gear solid.. bila kusahau gran tourismo....

dah kitambo sana
 
Ukiongezea na God of War Ghost of Sparta, God of War Chain of Olympus hizi zilikuwa kwenye psp hatari mkuu hizi games sema mi nilizicheza kwenye Laptop kwa kutumia Emulator
 
Mkuu tafuta metal gear solid
 
Mkuu tafuta metal gear solid

nimecheza son of liberty enz za ps2 nipo o level... sipendagi game za vita.. na kwa sasa ni mtu mzima sina muda wa kucheza mission game... xbox one yangu naweza nisiiwashe hata miez miwili
 
Kwa sasa duniani hakuna game kali kama Overwatch.
Tatizo bongo internet mizinguo, latency mbaya sana, kila nikirudi bongo namiss sana hili game. Hakuna server zake Africa maana hakuna players, watu wengi masikini na crackers. Hili game ni multiplayer linahitaji internet ya uhakika na latency ndogo, Voda ukiunga ping inapanda hadi 300ms. Kweli Africa tupo nyuma kila kitu. Hadi games wanatusahau.

Overwatch-Guide-header.jpg
 
Nashukuru... hivi kwa ps4 games za first person kama thief na call of duty waweza cheza? Mi naona kama kutumia pad kwa hizo game ni shida.....

Nimeona kununua ps3 au ps4 inaweza kuwa rahisi sema ni games za sports kama fifa na third person games ni rahisi kucheza na pads ila first person shooters naona haiwezekaniki kuchezeka
mimi kabla sijanunua ps4 au 3 pia nilikuwa nasema hivyo hivyo kwenye swala la ku shoot kwenye games kama COD BATTLEFIELD NA NYINGINEZO itakuwa shida but nilipo kuja kupata sikuamini kama KU SHOOT ilikuwa ni rahisi na haraka kushinda mouse
Nimecheza shooting games nyingi tu kwenye PS4 kama
- COD infinity warfare
-Battlefield Hardline
-Homefront
na unashoot vizuri tu na unakuwa fast shooter
 
duh kweli nimezeeka.. enzi za secondary kila likizo nilikuwa nashinda ndani na cd yangu ya games na nacheza tu.. toka enzi za ps1 primary, ps 2, na ps3 enz za sekondari..

na xbox one niliyoinunua mwenyewe baada ya kuanza kujitegemea.. japo siichezi sana sina muda kabisa.

katika maisha yangu kama mcheza game.. game kali kuliko zote niliyowahi kucheza ni God of war 1.. kidogo na God of war 2 enzi hizo ps2 kwenye ubora wake...

na mwisho kabisa God of War 3.. ambayo ilikuja kwenye ps3... bonge la game...

enzii za ps1 game kali kuliko zote kuicheza ni Dino Crisis na Metal gear solid.. bila kusahau gran tourismo....

dah kitambo sana
pamoja mkuu iyo game god of war me pia naikubali sana nimemaliza 1 2 3 pamoja na GOD OF WAAR ASCENSION Kwasasa tunasubiria GOD OF WAR 4 PS4
 
Ukiongezea na God of War Ghost of Sparta, God of War Chain of Olympus hizi zilikuwa kwenye psp hatari mkuu hizi games sema mi nilizicheza kwenye Laptop kwa kutumia Emulator
MKUU God of War Ghost of Sparta, God of War Chain of Olympus hizi ukicheza kwenye ps3 Raha sana
 
mimi kabla sijanunua ps4 au 3 pia nilikuwa nasema hivyo hivyo kwenye swala la ku shoot kwenye games kama COD BATTLEFIELD NA NYINGINEZO itakuwa shida but nilipo kuja kupata sikuamini kama KU SHOOT ilikuwa ni rahisi na haraka kushinda mouse
Nimecheza shooting games nyingi tu kwenye PS4 kama
- COD infinity warfare
-Battlefield Hardline
-Homefront
na unashoot vizuri tu na unakuwa fast shooter
Sawa ndugu ngoja ninunue ndugu...

Nitajie games nzuri pia kwa sasa hasa third person zinazocheza ps3 kama the last of us ambazo nitajifunzia then baadae niende kwa ps4.

Ingawa ni ya zamani ps3 lakini ngoja nianze na hio.... nilizoea kucheza kwa pc ila sasa specifications kila siku zinapanda hadi naona ni shida
 
ahh mkuu PS3 sio ya zamani Chenyewe ni kamashine kadogo lakini mzikiwake ni hatari kanasukuma hadi GTA V kanazishinda nguvu baadhi ya PC
Na Powerful Pc Ya 2012 Ilitengenezwa kwa kutumia vifaa vya ps3
 
Sawa ndugu nashukuru sana ngoja niitafute bro...
Naomba unitajie na games nzuri za kuanza nazo
 
nimecheza son of liberty enz za ps2 nipo o level... sipendagi game za vita.. na kwa sasa ni mtu mzima sina muda wa kucheza mission game... xbox one yangu naweza nisiiwashe hata miez miwili

Sawa mkuu sisi bado mateen tunaenjoy ulimwengu wa playstation na Consoles
 
Back
Top Bottom