Video games ambazo mpaka sasa nimeshacheza

Video games ambazo mpaka sasa nimeshacheza

Embu tupia picha ya hako kadude.
8f25b23b7d1905e4fbabb17e4588008e.jpg

Hako hapo..
 
Game karibu zote zilizotajwa humu nimeshazicheza na ka min pc kangu wengi nikiwaonyeshaga hawaamini..hata mi mwenyewe sometimes nakashangaa.. Saiz ndo naona kwenye pes 2018 kidogo kanaleta lags na fifa 17 ndo kalinigomea kabisa sidhani kama 2018 katakubali.. Ila fifa nyingine zote kanacheza na pes zote kanacheza za magari zote kamemaliza mpaka series ya dirty kamepiga hadi no 4, hizo call of duty sjui gta( kasoro gta v sjajaribu maana nimeona gb kubwa mno), kina max Payne, gti zote, need for speed zote(kuna moja ile ya the run nikajua katazingua ila kakapiga yote bila lag) na ma game mengine mengi tu kamepiga ..kana gb 6 ram(4 nimefanya kuongeza kalikuwa na gb 2 tu) , hakana gpu, graphics ni intel na processor ni 2. 4 dual core.. Nilikanunuaga laki 5 tu.. Noma sana..
Hongera mkuu...ila hako latest game hakagusi kabisaaa
 
Habari za jion wakuu

yaani wakuu nimekua mpenzi sana wa video games mapaka nashindwa kuelewa mapaka sasa nmimeshacheza video game nyingi sana
call of duty modern warfare 1,2,3,4
call of duty blacks ops 1,2,3
Need for speed most wanted 2005,2012
Need for speed hotting pursuit 2010
Need for speed shift 1,2
Need for speed Rivals 2013
Need for speed the run 2011
Need for speed deluxe 2015
Battle of field 1 na 2
Pess 2013,2015, 2016 2017
Fifa 2014, 2016, 2017
Hit mAN
IGI
far cry 3
fallout 4
Euro track

now nasubiria
Need for speed play back
FIFA 2018
PESS 2018

Hizi game utaweza kuzicheza ukiwa na processor ya Maana

Compture yangu ni HP pavilion G6 core i5
PROCESSOR 2.4
Ram 8 GB
GRAPHIC CARD AMD 1.5 GB
Unacheza na kuzimaliza ama?
GTAA V GTA IV GTA SA GTA VICE CITY
CALL OF DUTY ALMOST ZOTE
need for speed most wanted 2012
Sleeping dogs
FIFA 17
PES 117
RESIDENT EVIL 5 ,6
ASSASINSS CREED III,IVROGUE,SYNDICATE
SYNDICATE
FAR CRY 3,4
WATCH DOGS 1
My platforms PS3 PC PS4
 
mkuu weka link ya call of duty black ops 2 au 3 nidownload
 
Duh!.. Mnacheza magame kama mnalipwa vile!.

Sijaona mtu kuliongelea Freedom Fighter na 1890 au hamkuwahi kuyacheza!?..
 
Habari za jion wakuu

yaani wakuu nimekua mpenzi sana wa video games mapaka nashindwa kuelewa mapaka sasa nmimeshacheza video game nyingi sana
call of duty modern warfare 1,2,3,4
call of duty blacks ops 1,2,3
Need for speed most wanted 2005,2012
Need for speed hotting pursuit 2010
Need for speed shift 1,2
Need for speed Rivals 2013
Need for speed the run 2011
Need for speed deluxe 2015
Battle of field 1 na 2
Pess 2013,2015, 2016 2017
Fifa 2014, 2016, 2017
Hit mAN
IGI
far cry 3
fallout 4
Euro track

now nasubiria
Need for speed play back
FIFA 2018
PESS 2018

Hizi game utaweza kuzicheza ukiwa na processor ya Maana

Compture yangu ni HP pavilion G6 core i5
PROCESSOR 2.4
Ram 8 GB
GRAPHIC CARD AMD 1.5 GB


ivii IGI 3 ipoo aisee maana naisaka siipati kabsaa !!!???
 
Back
Top Bottom