Video games ambazo mpaka sasa nimeshacheza

Video games ambazo mpaka sasa nimeshacheza

The patriot man,
Samahani mkuu naweza pata link nipakue hii "need for speed deluxe 2015" pc game, manake nacheck torrent nakutana na "need for speed rivals digital deluxe edition" sasa sina uhakika kama ndio kama hiyo yako ama la ama pc game yake haijatoka bado?
 
ungesubiri tu NFS playback mkuu
 
Is there anyone anaplay sniper v2? Sniper elite, sniper afrika?
 
ungesubiri tu NFS playback mkuu
Mkuu nimekuwa game addict sana kiasi kwamba hakunaga version ya NFS inayonipitaga nitakesha kuimaliza hata kuirudia, game zote kali nahakikisha nazicheza. Naona sikuwa aware na hii. Na sijacheza NFS muda kidogo baada ya kurudiarudia mission na kukinai. Kama una link ya NFS deluxe 2015 for pc nitumie tu
 
dah hiyo sijui utaipataje
 
GTAA V GTA IV GTA SA GTA VICE CITY
CALL OF DUTY ALMOST ZOTE
need for speed most wanted 2012
Sleeping dogs
FIFA 17
PES 117
RESIDENT EVIL 5 ,6
ASSASINSS CREED III,IVROGUE,SYNDICATE
SYNDICATE
FAR CRY 3,4
WATCH DOGS 1
My platforms PS3 PC PS4
Hivi kwa pc yako ina-specifications gani?
Mi ya kwangu nime blow mapigo naona games nyingi ni kubwa kwa sasa ... hata kudownload tu magemu sifanyi hivyo kwa sababu hayatacheza.

Pc yako ina specifications gani maana naona hayo magemu yanahitaji pc si ya kitoto.

Na hizo call of duty waweza cheza kwa kutumia playstation? Mi naona ni taabu katika aiming
 
Back
Top Bottom