Mwandishi wa habari wa Aljazeera ambaye pia ni gaidi la HAMAS

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,654
48,432
Stakabadhi zilizokutwa kwenye laptop zaonysha hawa waandishi wa Aljazeera ambao ni magaidi wa dini, yaani mimi siku hizi huwa sitazami chochote cha Aljezeera, mimi huwaona kama wote magaidi wa dini, ukishajiunga kwenye uzombi wa ile dini yaani wewe na ugaidi mnakua kama pete na chanda.....

577855

Al-Jazeera journalist Mohammed Wishah had a side job as a commander in Hamas's anti-tank missile units until 2022, evidence retrieved by the IDF revealed, the IDF's spokesperson for Arabic media, Avichay Adraee, announced on Sunday.

"In the morning, a journalist on Al Jazeera, and in the evening, a terrorist in Hamas!" wrote Adraee on X.

"During operations by our forces several weeks ago inside one of the Hamas camps in the northern Gaza Strip, a laptop belonging to someone named Muhammed Samir Muhammed Wishah, born in 1986 from Bureij, was seized where it is clear from the documents that Muhammed Wishah is a prominent commander in the anti-tank missile units in the military wing of Hamas."

At the end of 2022, Wishah transferred to work in the field of research and development in Hamas' aerial units, according to Adraee.
 
Hivi Hamas wanapigania uhuru wa palestina au wanapigania dini. Acha upotoshaji aikusadii kitu zaidi ya kuonekana mpuuzi. Huyo anapigania taifa lake. And mind you, palestina Kuna waislam na wakristo pia. Makinisa mengi tu yameshambuliwa Gaza na pia wakristo wameuwa. Vilevile ukizania Isreal ni nchi ya wakristo unajidanganya tu asilimia kubwa ya wa Israeli ni wayaudi ukifuatiwa na waislamu alafu wakristo asilimia ndogo tu. Hi si vita ya kidini kama unavyotaka watu waamini
 
Tumia akili walau kidogo, hii hapa dibaji ya manifesto ya HAMAS ambapo wanaita waislamu wote waifute Israel, ni uhuru upi huo mnaoupigania wa kutaka kufuta jamii nzima ya watu wa Israel kisa dini....

main-qimg-59203067b5263c40a82fd971fefe35de
 
Umimi-ism (yaani egocentrism) kazini:

"Kwani wewe nani ndugu hata kutaka kujipambanua kama kigezo (an important unit of measurement) kwenye lolote?

Bure kabisa.
 
Umetoka msikitini kumswalia Mtume au Allah? Maana Allah amesema kwenye Quran mswali mara 3 nyie mnamfuata Mudy mnaswali mara 5.. ndio tatizo kubwa akili imewatoka kuacha ya Allah mnafuata na Mudy muongo.. Ukiwa Muslim directly utatea hadi ujinga na upumbavu wowote kisa Mudy alishayafanya mnaota Sunna..

Gaza ni Vita ya udini zaidi Hamas wenyewe walijua Allah ana exists ndioo maana wakacamia kwa mayowe kuwa Allah ni likubwa (Akbar) tatizo wanafunika Quran inayosema Allah aliwapa Land Israel.. so ki Allah watagonga mwamba kudhani ardhi wataipata and Kwa Wana wa Israel iwe kidino au kawaida watashinda now ni kidini ushondi upo upo tu...
Arabs has to go back to Arabian Peninsula not canan
 
I am bold enough kuelewa Isreal wanafanya ethnic cleansing Gaza baadala ya kusoma manifesto ya hamas. As you read on the charter they want to do to Isreal as what was done to them (revenge)hata ulicho quote hukijui. 75 years ya oppression wewe haoni, unategemea reaction itakuwaje. Hii sio vita ya kidini ni vita ya haki ya ardhi ya wapelistina, wapelistina wengi ni waislamu ndio maana wajumuika kupitia dini. umebaki kushabikia vitu hivielewi. Hao wa Israel wanakuona wewe kama subject tu, lakini kazi kujipendekeza unajiona kama muisrael mweusi you are nobody to them utumwa umekujaa. you are trying to potray that, Israel is being oppressed by Palestine while it is other way round. This a result of when someone is pushed too far, he retaliates.
 
Ndio nini umeandika hapo, hiyo dini imewafanya hata wasomi muwe mazombi...
 
Israel wangetaka kufanya ethnic cleaning haiwezi ikawachukua hata siku moja, wanapiga pale sehemu kitu kinaitwa carpet bombing panafutika, uwezo huo wanao, sema wanajaribu sana kuepuka maafa ya watoto, magaidi yenu yamejificha nyuma ya watoto na akina mama.
Ingekua mnafanyia Urusi au China huu utoto wenu ndio mngejua nini maana ya ethnic cleansing, wale huwa hawajali, wanapiga mabomu ya kufuta kabisa.
 
Umetoka msikitini kumswalia Mtume au Allah? Maana Allah amesema kwenye Quran mswali mara 3 nyie mnamfuata Mudy mnaswali mara 5.. ndio tatizo kubwa akili imewatoka kuacha ya Allah mnafuata na Mudy muongo.. Ukiwa Muslim directly utatea hadi ujinga na upumbavu wowote kisa Mudy alishayafanya mnaota Sunna..

Gaza ni Vita ya udini zaidi Hamas wenyewe walijua Allah ana exists ndioo maana wakacamia kwa mayowe kuwa Allah ni likubwa (Akbar) tatizo wanafunika Quran inayosema Allah aliwapa Land Israel.. so ki Allah watagonga mwamba kudhani ardhi wataipata and Kwa Wana wa Israel iwe kidino au kawaida watashinda now ni kidini ushondi upo upo tu...
Arabs has to go back to Arabian Peninsula not canan
Wewe hajioni ulichokiandika ni ubaguzi, huwezi ku stereotype society nzima. Hakuna jumia ambayo inawatu wazuri tu au wabaya tu sio dini, sio kabila, sio nchi nk. Background yako itakuwa inashida, what you have just wrote it shows your level of civility is very low
 
Hivi Hamas wanapigania uhuru wa palestina au wanapigania dini. Acha upotoshaji aikusadii kitu zaidi ya kuonekana mpuuzi. Huyo anapigania taifa lake. And mind you, palestina Kuna waislam na wakristo pia. Makinisa mengi tu yameshambuliwa Gaza na pia wakristo wameuwa. Vilevile ukizania Isreal ni nchi ya wakristo unajidanganya tu asilimia kubwa ya wa Israeli ni wayaudi ukifuatiwa na waislamu alafu wakristo asilimia ndogo tu. Hi si vita ya kidini kama unavyotaka watu waamini
Harakat al muqawama al islamiya
 
Kila mtu anafahamu hilo,ila hamasi ni kundi la kiislam linalotaka kuleta sera za kiislam hapo gaza,usilam na ugaidi ni kama tako na chupi,mayahudi acha ya fanye kazi yao kuondoa upuuzi huo hapo gaza.
 
I am bold enough kuelewa Isreal wanafanya ethnic cleansing Gaza baadala ya kusoma manifesto ya hamas. As you read on the charter they want to do to Isreal as what was done to them (revenge)hata ulicho quote hukijui. 75 years ya oppression wewe haoni, unategemea reaction itakuwaje. Hii sio vita ya kidini ni vita ya haki ya ardhi ya wapelistina, wapelistina wengi ni waislamu ndio maana wajumuika kupitia dini. umebaki kushabikia vitu hivielewi. Hao wa Israel wanakuona wewe kama subject tu, lakini kazi kujipendekeza unajiona kama muisrael mweusi you are nobody to them utumwa umekujaa. you are trying to potray that, Israel is being oppressed by Palestine while it is other way round. This a result of when someone is pushed too far, he retaliates.

Same to you na wewe waarabu wanakuona fala kama mafala wengine tu.
 
Hamna cha kusomwa hapo, uzombi wa dini unakusumbua kama muandishi anayesemwa humu.

Uzuri wa maandishi usipoelewa unarudi tena kusoma. Usipoelewa unarudi tena na tena!

Hata kama no kubwa jinga mwisho utaelewa tu.
 
Hivi Hamas wanapigania uhuru wa palestina au wanapigania dini. Acha upotoshaji aikusadii kitu zaidi ya kuonekana mpuuzi. Huyo anapigania taifa lake. And mind you, palestina Kuna waislam na wakristo pia. Makinisa mengi tu yameshambuliwa Gaza na pia wakristo wameuwa. Vilevile ukizania Isreal ni nchi ya wakristo unajidanganya tu asilimia kubwa ya wa Israeli ni wayaudi ukifuatiwa na waislamu alafu wakristo asilimia ndogo tu. Hi si vita ya kidini kama unavyotaka watu waamini
Iko wazi,waislam wanawaona hamas kama wapigania,dini na siyo uhuru, kama ni swala la uhuru kwa wamoroko,wa sahara mpaka leo,wanakaliwa na jumuia ya kiislamu iko kimya , wahindi wamevunja msikiti huko hindu wakajenga hekalu lao jamii ya kiislamu zipo kimya. Hii ni kwa kuwa siyo maadui wa uislamu bali israel ni adui wa uislamu ,hapo ndipo vita ya hamasi na israel inakuwa ya kidimi.
 
Back
Top Bottom