Mwacheni Mungu aitwe Mungu,kama alimpigania mikononi mwa mashetani watano,iweje ashindwe kumpigania sasa akiwa anapatiwa matibabu?Huyu bwana akipona kabisa na akarudia uzima kama aliokuwa nao mwanzoni basi kingwendu atakuwa next president. Wapigaji walikuwa wanajua vizuri wapi pa kupiga kwa lengo la kuua ama kumpa kilema cha maisha.
Mbona Video inaelezea 1/4 tu ya mkasa mzma? Nadhan kama ingekuwa kamili ingejibu maswali yetu ila kwa sasa bado kuna kitendawili!
Moja ya swali ni kwamba wakati anatekwa huyo jamaa wa ikulu alikuwa wapi?n.k
Tumeweka access kwa devices zote, na tumeruhusu watu kuweza ku-embed kwenye tovuti zao ili kusambaza ujumbe. Hakuna watermark!
Unatumia PC?
Simu yangu naiamini sana lkn clip aifunguki ntaonaje au niende youtube
mkuu mi nadownload hapa ina 11.377mb...ndio hii ya 21min?
Subiri mpaka Yesu arudi
tumbiri loe umeteleza mkuu...ya nini kukopi majina yote hayo mkuu wangu..!!!
| ||
|
Mkuu inawezekana something went wrong kwenye plan nzima ndo maana machoni petu inaoenekana kama ni "amateur means"
Shida ni kwasababu, kwanza walimtorture na kutaka kupata maelezo kutoka kwake kuwa "nani yuko nyuma ya mgomo wao"
Inawezekana kulitokea something, maybe some dissaggrement miongoni mwao wakati wakifanya unyama huo.
Damu aliyopoteza na majeraha aliyonayo, ni wazi walitegemea afe.