Video: Dereva wa Lori akutwa amekufa kwenye cabin ya gari huko Mukambo

Mjanja M1

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
3,660
12,304
Dereva wa Lori Mtanzania akutwa amekufa kwenye cabin ya gari yake huko Mukambo.

Alikuwa anaendesha gari yeye namba za usajili T 692 EDC mali ya kampuni ya Inara Investments( Tanzania) Ltd.

Mwili wake umehifadhiwa polisi Mukambo border kwa ajili ya kuwatafuta ndugu na jamaa zake .

Video inatisha kidogo.

Eleza Vizuri. Mukambo ni Wapi ??? Sio Kila Mtu anajua MUKAMBO Iko Nchi Gani ??
 
Poleni kwa wafiwa, ndio maana president Trump anatuambia sisi ni shithole country, angalia hiyo video watu ni wengi mno ambao hawakutakiwa kabisa kuwepo hapo kwenye crime scene, wapi foresinc guy's?maana crime scene ipo contaminated tayari, na gari inayobeba maiti huu ni ushenzi wa miaka ya 60s huko, wapi magari maalum ya kubeba maiti?,why viichi kama Botswana, Namibia vipo advanced kwenye mambo mengi ?,inakatisha tamaa kabisa, huyu mtu amekufa, treat kwanza as a murder
 
Dereva wa Lori Mtanzania akutwa amekufa kwenye cabin ya gari yake huko Mukambo.

Alikuwa anaendesha gari yeye namba za usajili T 692 EDC mali ya kampuni ya Inara Investments( Tanzania) Ltd.

Mwili wake umehifadhiwa polisi Mukambo border kwa ajili ya kuwatafuta ndugu na jamaa zake .

Video inatisha kidogo.

1, dereva anaweza beba mzigo wenye kemikali au sumu, halafu analala kwenye cabin, ile sumu inamuua taratibu usingizini.

2, dereva Kila sehemu akisimama anakula kitu, anaweza kula sumu bila kujua.

3, mmiliki wa gari ameizindika gari yake kuipa ulizi, dereva nae anaenda kujizindika kujipa ulinzi binafsi, mambo yakikutana dereva anazidiwa na kupoteza maisha.

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
Boda ya wapi hiyo?
 
Na zile sumu za pale ABC karibu na tazara nasikia zinaua sana wafanyakazi
 
Mambo ya utafutaji na changamoto zake hii Dunia .mpambanaji apumzike kwa amani
 
Back
Top Bottom