GE2025 Video: Coaster zaidi ya 100 kwenda Moshi kuzika wanaodaiwa kuuawa wakati wa uchaguzi

GE2025 Video: Coaster zaidi ya 100 kwenda Moshi kuzika wanaodaiwa kuuawa wakati wa uchaguzi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
1,446
Reaction score
2,093
Wakuu,

Hii Serikali ya Samia ijitafakari sana, mpaka sasa ndugu zetu wengi walipoteza maisha kwenye Maandamano ya Oktoba 29 na idadi bado haijakamilika maana wengine ndo miili inachukuliwa na hao wanaharamu kuzikwa kusikojulikana ili wapoteze ushahidi

moyo wangu unavuja damu, vijana wadogo sana tumewapoteza kisa mtu hataki kuachia madaraka

------------
Hapa hakuna cha maridhiano wala nini kama anataka maridhiano aturudishie uhai wa hawa watanzania wenzetu zaidi ya 10k laa sivyo tunakutana naye desember 9 na awamu hii hatutaki akimbie nchi afie hapa hapa kama alivyoua wengine.

 
20251107_204205.jpg
 
Watu wa kaskazini(chadema) ndiyo waliyaanzisha, ubungo,kimara,mbezi
 
Back
Top Bottom