Marco Seth
JF-Expert Member
- Oct 21, 2022
- 5,345
- 6,863
Usimsahau lucas
Usimsahau lucas
Utapeli mtu kwa mungu yupi?Mtume Boniface Mwamposa akimuombea Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan wakati wa Ufunguzi wa Kanisa Jipya la Arise and Shine la Mtume huyo.
Umeona ehNdio mjue hizi dini ni utapeli, angekua Chokambaya hapo angelipuka mapepo. Halafu kwann masikini ndio hulipuka Mapepo?
Ety upako wake unadiscpline kwa Rais😁Wale wengine huwa wanaandaliwa na Mwamposa mwenyewe kujiangusha
Ukijua hivi wengine wanajua vileeeee, mjini hapa.Sisi RC tumepiga marufuku kampeni kwenye Mimbari zetu...
Kivipi wanateseka?!!! Jibu tupatie lile linalotoka nafsini, sio mdomoniHuku Waumini wa Gwajima wakiteseka
Mbona kama umepaniki ndugu mungu ni wa kila mtu.Mungu wa Yusufu mwana wa Isaka mwana wa Yakobo Mwana wa Ibrahim baba yetu wa imani atajitenga na dhambi & dhurma yoyote ile asema bwana wa majeshi.
Mungu tunayemtumikia hadhihakiwi kamwe.
Mwamposya ni high level katibu mkuu ofisi ya Raisi Kijazi alikuwa muumini wakeKumbe mama anaruhusiwa kushikwa na wahuni? Na mabodigadi wanakubali hii nchi ngumu sana
Wakristo hatuko kama waislamu wabaguxi sisi tumeamuriwa sio hiari kuwa sala na dua za heri tuombee watu wote sababu wote baba yetu mmoja Mwenyezi MunguMuislam anaombewa na kafiri
Ccm ni mafia aisee,Padre alipigwa, lisu yupo jera,kanisa la gwajima, limefungwa, kenge wa ccm Waka sense hasira ya wakristo!Mtume Boniface Mwamposa akimuombea Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan wakati wa Ufunguzi wa Kanisa Jipya la Arise and Shine la Mtume huyo.
aise kati ya watu waliokoment ukwel ni wewe, alafu sasa mtu kambewa azid kupaa zaid na zaid, yaanKuna watu wamenuna kweli kweli........Mungu ni mkubwa, Raisi Bado wapo watu wasiokuwa na ubaguzi wa kidini Wala ukanda wanamuamini.
Apige Sana Tu mpaka wapumbavu wabaki weupeAtapiga mapesa sana kashatengezewa
Naam Acha waliwe wabaki weupe, watashtuka jamaa ameshapepea mbaliWajinga ndiwo waliwao...
Sijui ilikuwaje hajapandisha mapepo adondoke kabsa apoteze fahamu apelekwe Mzena hospitalKumbe mama anaruhusiwa kushikwa na wahuni? Na mabodigadi wanakubali hii nchi ngumu sana