VIDEO: Boniface Mwamposa akimuombea baraka Rais Samia

VIDEO: Boniface Mwamposa akimuombea baraka Rais Samia

Nilitarajia aanguke kama wengine...
 
Imekuaje Tena hajaenda TEC nako wamuombee kwa Mama Bikira Maria mkingiwa dhambi ya asili uiombee Tanzania, na mama Samia !!
 
Mwamposa hana upako! Angekuwa na Upako hapo mtu angetupwa chini na mapepo yanapomtoka! Tena kwa imani yake majini yangepiga kelele.
Hili swala nalifikilia sana, yaani huyu mama ni wa dini ile ambayo majini kwao ni Pete na kidole plus mauaji, Roho nyingi zinamlilia halafu mtume kweli kabisa wa Mungu amuombee halafu asipige yowe na majini kuropoka! Hapo nimekataa huyu nabii ni tapeli kama matepeli wengine.
 
Kimjini kuna ile lugha ya kumjaza mtu upepo halafu unachukua.pesa zake. Naiona application hiyo hapo packers
 
Hili swala nalifikilia sana, yaani huyu mama ni wa dini ile ambayo majini kwao ni Pete na kidole plus mauaji, Roho nyingi zinamlilia halafu mtume kweli kabisa wa Mungu amuombee halafu asipige yowe na majini kuropoka! Hapo nimekataa huyu nabii ni tapeli kama matepeli wengine.
Mtume naye ni walewale,ogopeni matapeli.
 
Mtume Boniface Mwamposa akimuombea Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan wakati wa Ufunguzi wa Kanisa Jipya la Arise and Shine la Mtume huyo.
Ina maana yeye mwenyewe ameshindwa kujiombea?
 
Back
Top Bottom