VIDEO: Boniface Mwamposa akimuombea baraka Rais Samia

VIDEO: Boniface Mwamposa akimuombea baraka Rais Samia

Maombi haya sijajua nini maana Yake.

Moyo wa Rais upo sehemu nyingine kabisa kuhusu Nchi Yake sababu kama Ni maombi watanzania wengi humuombea.

Kuna maombi anaombewa laana
Kuna maombi anaombewa mema na yote hupokelewa na hupimwa Kwa mizani ya hakhi.

October atavuka Salama.✅
Sababu ndio Rais wa wetu.
 
Kwa wanawake wengine kuanguka hua ni maigizo.
Leo hakuna kitu coz hakuna upako halisi. Kwa watu wenye Imani ya Yesu Kristo huyu asingetoboa.
 
Mungu wa Yusufu mwana wa Isaka mwana wa Yakobo Mwana wa Ibrahim baba yetu wa imani atajitenga na dhambi & dhurma yoyote ile asema bwana wa majeshi.

Mungu tunayemtumikia hadhihakiwi kamwe.
Watu mnavyojifanya watakatifu....uskute wewe una mifurushi mizito ya madhambi ni vile tu watu hatujuani,achen kujivika utakatifu wa kijinga kazi kunote viandko andiko tu ili muonekane wasafi
 
Back
Top Bottom