Video: Afande IGP Sirro anamjibu nani hapa?!

View attachment 2160498

Najaribu kuwaza, hapa Afande IGP anamjibu nani? Nikifiria zaidi nahisi kama anamjibu mama.

Msikilize mama hapa 👇
View attachment 2160533

Kiichwa cha habari ulichoweka kina ukakasi maana hakina uwiano wa uhalisia. Kuna video mbili umeambatanisha lakini ya mwingine hujaisemea.

USHAURI

Rais aache malumbano na vyombo vya majeshi hao sio Ndugai achukue tahadhari. Siku ikitokea akasimama na kusema kama alivyosikika anaongea kana kwamba anampa changa moto mkuu wa jeshi la polisi that shall be the end of her institution, the army or military is not something you can react politically, they do not buy it.

Heshima ni kote kote na warekebishane kwa heshima sio kwenda hadharani na kutoleana ngonjera za mipasho wananchi hatutaki hilo.
 
Siro anatakiwa kuwa gerezani mara moja
 
Sa100 amekuwa mlevi wa madaraka anaongea kama anamsuta mtu.

After all jeshi la polisi ni taasisi huwezi kumu accuse sirro kama yeye ndio alieliharibu.

Walioliharibu jeshi la polisi ni CCM wenyewe kwa kuingiza siasa za maji taka. Na taasisi nyingi nchi hii zimeharibika kwasababu ya kuingiza siasa. Waliache jeshi lifanye kazi yake kwa mjibu wa sheria za kuundwa kwake bila kuingiliwa.
 
Ndugu zangu nina wasiwasi na haya mambo, inawekana issue ya Mbowe Siro aliposema wanaushaidi tena mbele ya Watanzania leo unaiondoa kesi mahakamani Siro hawezi furahi maana amevuliwa nguo! Tena walimdangaja wakamwambia wenzake Mbowe wako jela !!!! Nae bbc kasema...... Hapo kuna shida kubwa. Ishu ya Mtwara ni muendelezo trust me
 
Kiichwa cha habari ulichoweka kina ukakasi maana hakina uwiano wa uhalisia. Kuna video mbili umeambatanisha lakini ya mwingine hujaisemea.

USHAURI

Rais aache malumbano na vyombo vya majeshi hao sio Ndugai achukue tahadhari. Siku ikitokea akasimama na kusema kama alivyosikika anaongea kana kwamba anampa changa moto mkuu wa jeshi la polisi that shall be the end of her institution, the army or military is not something you can react politically, they do not buy it.

Heshima ni kote kote na warekebishane kwa heshima sio kwenda hadharani na kutoleana ngonjera za mipasho wananchi hatutaki hilo.
Kwa taarifa yako ile vita na Ndugai ndiyo ilikuwa hatari zaidi kuliko hii..... oopsss ... if bunge lingekuwa la wananchi kweli. Sirro (Ziro) yuko pale kwa kuteuliwa na rais, na anaweza kutolewa wakati wowote on president's plessure! Hata Mkuu wa majeshi, hata mkuu wa Usalama wote hawamfikii spika kama nchi ingekuwa na mihimili inayojitegemea kiukweli. Anyways... walisema ushirika wa wachawi haudumu, walianza na Ndugai, anafuatia Sirro (Ziro), baada ya hapo hatujui ni nani. BTW mama alipoapishwa chama cha wanasheria na Chadema walisema inatakiwa avunje serikali aanze na safu yake akawa mbishi. Matokeo yake ndiyo haya.
 
Ndani ya mabaya ya S N Sirro kuna na mazuri yake. Zuri moja kubwa ni kudhibiti majambazi ambao walikuwa na utawala wao ndani ya JMT.
hilo la kudhibiti hata kwa Samia imewezekana! Ujambazi mkubwa haufanyiki bila polisi kuwemo ndani yake! aslimia kubwa wahusika wa ujambazi huwa na polisi wamo! Magu aliwabonda mpaka polisi walioshiriki ujambazi ndio.maana pakawa shwari
 
Bila kupiga kelele walikuwa wamejikausha! IGP alikuwa anafaham ila kwakuwa amezoea kuua basi akaona kawaida!

Kiukweli angepumzika tu maana zama za aina yake na matukio yaliyofanywa na Polisi awamu ya 5 ni maisha tofauti na awamu ya 6! kwa hiyo ajiongeze maana mama anataman aweke timu yake kama Mwendazake alivyoweka! SIRRO angestaafu kwa heshima tu

Mama aliachia mpaka ushahidi wa polisi kesi ya mbowe usikike mbele ya watanzania wote, aibu ile haiwezi jificha! mama kila akiwaona polisi anakereka!

Sirro apate wasaa akae na mama amuombe amsamehe mahali alipomkwaza aombe apumzike! mama muungwana sana maana mama ni mama
Kutakucha hivi karibuni.
 
Kwa taarifa yako ile vita na Ndugai ndiyo ilikuwa hatari zaidi kuliko hii..... oopsss ... if bunge lingekuwa la wananchi kweli. Sirro (Ziro) yuko pale kwa kuteuliwa na rais, na anaweza kutolewa wakati wowote on president's plessure! Hata Mkuu wa majeshi, hata mkuu wa Usalama wote hawamfikii spika kama nchi ingekuwa na mihimili inayojitegemea kiukweli. Anyways... walisema ushirika wa wachawi haudumu, walianza na Ndugai, anafuatia Sirro (Ziro), baada ya hapo hatujui ni nani. BTW mama alipoapishwa chama cha wanasheria na Chadema walisema inatakiwa avunje serikali aanze na safu yake akawa mbishi. Matokeo yake ndiyo haya.
Hiyo safu yake aipate wapi kama kila mmoja alipata nafasi aliyokuwa nayo kwa nguvu ya hayati JPM pamoja na yeye?

Unatakiwa uelewe kitu kimoja ndani ya chama cha CCM kuna makundi mawili yenye nguvu

1. Mtazamo wa kulia
2. Mtazamo wa kushoto

Kiongozi yeyote anayetokea upande wowote upande mwingine unachukua nafasi ya upinzani kwa kugawa taarifa kwa upinzani rasmi ambao wana mtazamo mmoja.

Aliyepo sasa hivi madarakani akiondoka, wale wote waliokuwa wakifanya kazi chini yake ni sharti waburuzwe mahakani kwa kesi za kutisha subiri ndipo utaelewa ninachokimaanisha
 
CCM naielewa sana sana. Ni maslahi tu hakuna cha mtazamo wala nini. Rais Samia alikuwa na bado ana nafasi nzuri kabisa ya kuwatupilia mbaya hawa waganga njaa na akaunda Tanzania mpya yenye wachapa kazi wa kweli na siyo hawa wahuni.
 
Back
Top Bottom