Vicky Kamata: Rais Samia hawezi kutibu majeraha, viongozi wa dini wagange mioyo ya watu, wamejeruhiwa

Usipende sana kutumia Neno hilo. Fikiri deeply. Utashangaa ukijua kuwa katika mfumo dume unaotawala siasa za nchi zetu za Afrika, wanawake wengi unaowaona waking’aa katika nafasi za kisiasa wamepitia au wanapitia adha hiyo kufikia na hata kudumu katika nafasi hizo. It’s an open secret. Wengine bado unawathamini sana. Lakini siri zao zikianikwa utasikitika. Wote utawaita hivyo?

Juzi kwenye mkutano wa UWT, Mh Rais aliwasisitizia wanawake kuhusu umuhimu wa kusimama kwa miguu yao wenyewe badala ya kutumika kwa manufaa ya wengine. Ina maana nyingi ikiwa ni pamoja na kunyanyasika. Hata ikiwa voluntary ni kunyanyasika tu. Ndio maana watu kama R Kelly na Bill Cosby wametikiswa kwa “taking advantage of vulnerable women”.

All said, Vicky Kamata hakutakiwa kumsema Magufuli hadharani. She’s part of the problem. She has a serious credibility shortfall.
Hii ndio comment pekee kati ya zote nilizosoma ambazo nimeona mtu katumia akili kujibu. Big up
 
Vicky wasikusimange simange bana mie bado nakupenda km vipi njoo!! twende zetu UN! ukale maisha huko achana na hawa wabongo wanumwa fungus!
 
Aisee. Marehemu Likwelike na familia zote toka mke wa Kwanza mpaka wa 3 nazifahamu mno. Niite mwongo Ila pole Sana.
Mary namfahamu tangu yupo Tambaza anasoma Alevel na Liwe yupo Dar Tech! Upo hapo? Hata alivyompatia gari Efatha unajui hiyo?
 
Nyani haoni kundule wewe unavopigana miti na kuku!! sometimes punda siyo malaya? Unajua starehe ya mzazi wako wa kiume? ni ipi? au weye ulitokaje km siyo mtu kuinamishwa tena bafuni faster!! .......... basi omba msamaha uwe salama kenge weee! ndudezile zina laana mbaya!
We nawe mmama nini
Kaungane na kahaba mwenzako

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
ALaaah!!! kuuumbe wewe ni ke ndo maana una chuki na mwenzako!!! alivo mzuri.....usitutukanie bana tutakosana bure!!!
Nina chuki? Yaan tukifunguka kisa ni mwananke mwenzetu ndo chuki? Ulisikia nina dhiki ama? Mjinga kweli. Tunapenda haki. No matter where. Ama nani. Hatupendi dhuluma

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Mary namfahamu tangu yupo Tambaza anasoma Alevel na Liwe yupo Dar Tech! Upo hapo? Hata alivyompatia gari Efatha unajui hiyo?
Hata Mimi ninamfahamu Mary na Likwe!!! Mpaka kutengana kwao!!! Mpaka issue ya media!!! Kifupi Vicky Kamata hakuhusika kutenganisha Likwe na Mary. Walitengana muda mrefu mpaka Likwe akaoa. Kwa kuwa marehemu hawasemwi basi Ngoja niishie hapo nikuache wewe unayejua zaidi.
 
Tanzania inataka ukatili kama miaka 50 hivi kushape jamii.....binafsi naanza harakati za kuwa Rais wa hii nchi na nitakuwa Katili kuliko huyo mnayemsema muache kudekadeka...

Hili linchi lina WAPUMBAVU wengi wanaohitaji ukatili wa hali ya juu tena miaka za 50 hivi ili wakae sawa na jamii mpya ikija iwe ya watu wasiopenda upumbavu na ukijaribu upumbavu unakufa on the spot..

Hiyo ulaya na America mnayokimbilia iliwahi kuwa ma makatili kuliko huyu mnayemuita katili ( late JPM hakuwa katili aisee aliwapenda mno anahitajika katili kuliko yeye).... huko ulaya na america viliwahi kupita vizazi katili ndio maendeleo yakaja ya kweli sio hii sugar coating..

Leo hii Ulaya na America imeendelea na makatili wote wamekabi in back face kwa kazi fulani fulani za kikatili na huko front face imewekewa wanasiasa wanaotabasamu lakini ukatili unaendelea nyuma huko....Ndio waiRaq walinyonga Saadam, Walibya wakamuua Ghadafi, huu ni ukatili wa back stage wa hao mnaowaona wanademocracy...

Bila hii nchi kuwafanyia ukatili wapumbavu na mamia kwa maelfu wakapotea na kufa haiwezi siku kuja kuendelea kwa hayo tunayoita maendeleo ya kweli....
Ona hii ng'ombe ya gaidi mwendazake!

Wewe badala uongelee utii wa sheria unaongelea ukatili

Pumbavu kabisa
 
Uchafu wa Vick Kamata unaujua kweli wewe unayemtetea?? I know Vick toka tunasoma nae SAUT! I know her in and out huyu dada anakinyongo chakukosa teuzi! Kipindi cha Phase 4,alijipendekeza wakampiga mhogo,akapewa post BOT,baada yakushindwa special seat na Amina Chifupa kupitia UVCCM, huko Shinyanga aliacha kilio kwa Mchumba wake mmoja hivi! Mtoto wake wa kike sio wa Likwe,lakini alikua ana fosi awe wa Likwe, hivi unajua mwaka 2014 alishindwa kufunga ndoa na bwana wake kwa nini,na michango na maandalizi yalikua yamekwisha fanyika?? Dakika za mwisho msela akalala mbele??
Issue ya kutofunga ndoa ninaifahamu. Na mimba ya huyo baby girl nafikiri ndiyo ilipatikana kipindi hicho. Ila sijui ni kwa nini alazimishe mtoto awe wa Likwe. Kuhusu tabia zake za kuchepuka zinajulikana wazi na inasemekana bit la kigogo Baba wa wanawe wa Kwanza alileta Shida na muoaji akaogopa pamoja na infidelity zake. Kikubwa Vicky hakuhusika kumuachanisha Likwe na mkewe wa Kwanza Mary. Hata mke wa pili alipofariki Likwe alianzisha au kuendeleza mahusiano na mwanamke mwingine Ila ghafla bin vuu tukasikia anaolewa Vicky Kamata. Daah Yule aliyeachwa aliduwaa na kupata ganzi kabisa.
Hii dunia aisee acha kabisa. Unaweza kuomba isimame ushuke.
 
Yeye anasema kifo cha Magufuli ni neema kwa taifa.

Vicky anaunga mkono kauli ya askofu Shoo kwamba mama aliponye taifa.
NEEMA KWA TAIFA AU NEEMA KWA MAFISADI? Wazarendo wa kweli tunamtambua magufuli kuwa alikuwa ni kiongozi sahihi na madhubuti mwenye uchungu na nchi yake ,kuhusu huyo kahaba muulize kama alikuwa na uchungu wowote na mali za nchi yetu kama tanzanite na dhahabu yetu iliyo kuwa inatoroshwa na mafisadi wakishilikiana na mabeberu ,mbona asemi kuhusu raisi aliye kuwa ana uza nchi yetu ,tena huyo vick ajafanya chochote cha kizarendo toka kuzaliwa
 
Anasema ukweli lazima usemwe jiwe alikuwa mnyama.
Mnyama kwa mafisadi ndiyo maana africa tunampenda jiwe na tulitaka mama awe kama magufuli tutatumia nguvu zote kufanya hivyo vinginevyo 2025 tunapiga out by the power of nyerere and magufuli legacy
 
Maoni juu ya mtu huwa yanabadilika kadri muda unavyoenda,kwakuwa mtu hutenda na katika kutenda kuna maeneo yanaweza kukugusa tofauti tofauti kadri muda wa utendaji unavyoenda,hivyo maoni ya mtu juu ya mamlaka au madraka yanaategemea na mambo anayofanya na muda aliohudumu.
Huenda mwanzo alimuona tofauti na baadae,na huu ndiyo ubinadamu,huwezi kuwa sawa muda wote.
Nimeona andiko lake na nimelisoma vizuri inaonesha sababu kuu ya kuongea hayo ni kukosa maslahi binafsi especially Mumewe alivyotumbuliwa pamoja na yeye kukosa cheo chochote hivi ndio vipengele alivyovikazania kwenye andiko lake.Kwa maana hiyo kwamba sio kwa sababu ya ukatili anavyodai Bali Magi kafanya vile kama sehemu ya kazi yake
 
Back
Top Bottom