Vicky Kamata: Mageuzi usiniguse tumeolewa na CCM

Kweli vipindi vya uongozi vimewahi kuwepo Tz lakini hii awamu ya ****** haitasahaulika hasa kwa upatikanaji wa wabunge jamii ya kamata. Mungu utuponye na viongozi wazinzi!!
 
Tooba!! Ya'arabi! yaani huyu katutukana pande zote! Kwamba wanaume tusiokuwepo CCM manake ni kuwa tuna shombo! na wale walioko CCM nao wameolewa! duh! Shindwa!
 
Mambo ya kwaito ya leo hayo
VICKY.jpg
 
Kwa hiyo Vicky Kamata anawaambia watanzania kuwa kapata ubunge kupitia ndoa (na nani?). Na anaposema 'tumeolewa" anamaanisha yeye na nani? Sina hakika kama huyu mwanamama anajua maana ya hii statement aliyotoa. It is bad bad bad bad Vicky. Inakushushia hadhi kabisa mama! unaweza ukawa umewaaibisha na wabunge wenzako vijana (wa kike) toka ccm! Very bad!

Kama ni kweli kayasema hayo basi ni cha wote huyu. Bora tu iwe na chapaa!
 
Kweli vipindi vya uongozi vimewahi kuwepo Tz lakini hii awamu ya ****** haitasahaulika hasa kwa upatikanaji wa wabunge jamii ya kamata. Mungu utuponye na viongozi wazinzi!!

naona mashambulizi yamehamia pale panaponuka shombo la samaki kila uchao, mwee!
 
Kapangiwa nyumba na mwandosya huyo mjini dodoma.
Nkuhungu.
Wala hatusumbui,anajulikana kuwa ni mgawaji mzuri.

Heeee! Kumbe mwandosya naye amesafisha rungu kwa huyo kidosho! Mi nilidhani ni mke wa mkulu pale mahala, pale karibu na bahari na kale kananii ka 'mafuguli'
 
Huyu Malaya hakika ametutukania Dada na Mama zetu.
Hivi nyie mliosomea sheria hamuwezi kutusaidia kwa hili?
Aburuzwe mahakamani aone kama kuvua chupi alikokuzoea kutamsaidia!

Jamani Faiza Foxy leo yuko wapi au kwa vile jina ni Vicky Kamata, ingekuwa Ashura angekaa kimya?
 
Back
Top Bottom