Vicky Kamata: Mageuzi usiniguse tumeolewa na CCM

JOB SEEKER

Senior Member
Aug 1, 2011
145
33
@ HABARINI ZA MCHANA

VICKY KAMATA

Mageuzi usiniguse tumeolewa,na ccm,mme bora mtanashati

anayejua kazi,ninakupenda sana mageuzi,upinzan ,usinishike ,unashombo

JE WANTANZANIA MMEOLEWA NA CCM NA NI MME WENU

BORA !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Mwachen alopoke pumba tu ucku akawe mboga ya mkwele,
hlf naomba wamsindikize na defender zaid ya moja
 
@ HABARINI ZA MCHANA

VICKY KAMATA

Mageuzi usiniguse tumeolewa,na ccm,mme bora mtanashati

anayejua kazi,ninakupenda sana mageuzi,upinzan ,usinishike ,unashombo

JE WANTANZANIA MMEOLEWA NA CCM NA NI MME WENU

BORA !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Kapangiwa nyumba na mwandosya huyo mjini dodoma.
Nkuhungu.
Wala hatusumbui,anajulikana kuwa ni mgawaji mzuri.
 
Hivi huyu Bibi kamata ameolewa?maana km ameolewa leo lazima apate kisago!
 
@ HABARINI ZA MCHANA

VICKY KAMATA

Mageuzi usiniguse tumeolewa,na ccm,mme bora mtanashati

anayejua kazi,ninakupenda sana mageuzi,upinzan ,usinishike ,unashombo

JE WANTANZANIA MMEOLEWA NA CCM NA NI MME WENU

BORA !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Kweli wana CCM wamekuwa kiituko nchii!! eti huyu dada nae msomi!?
 
Kwa hiyo Vicky Kamata anawaambia watanzania kuwa kapata ubunge kupitia ndoa (na nani?). Na anaposema 'tumeolewa" anamaanisha yeye na nani? Sina hakika kama huyu mwanamama anajua maana ya hii statement aliyotoa. It is bad bad bad bad Vicky.

Inakushushia hadhi kabisa mama! unaweza ukawa umewaaibisha na wabunge wenzako vijana (wa kike) toka ccm! Very bad!
 
kama ameolewa na ccm sawa,
Kwani kunampinzani aliyemtongoza?

Lazima aje kutubu.wanafiki kama yeye na lwakatare hawafai katika jamii yetu.
 
Back
Top Bottom