Vicky Kamata: Mageuzi usiniguse tumeolewa na CCM

chakula huyo dada mimi namjua nimemalza nae SAUT BBA, GPA alikuwa nayo ni mbovu lakini direct alipata kazi Bank of tz(BOT) Kabla ya kupewa vt maalumu.
Mkuu hajasoma BBA, alianza na Cheti cha Uandishi wa habari, baadaye akachukua ADJ-Advanced Diploma in Journalism, kama ni huyu ninayemfahamu mie.
 
NILISIKIAGA ALIDUNDA HUKO UK ALIPOKUWA AKISOMA CHA KUSHANGZA ALIVYOKUJA BONGO AKAPEWA KAZI "BANK KUU" HUKU WALE WENZIE WALIOSOMA NAYE NA KUFANYA VIZURI WAKAKOSA KAZI........... hiii imekaaje?
 
lakini mh alisema ukitaka kula vya watu............ . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .?
 
Kumbe ni wimbo?!

ndiyo.wimbo!!!!
ili msg ifike kwa watz wote siunajua FB wengi hatuna access nayo.
nakumbuka hata enzi za timbwili na amina chifupa alimtungia wimbo kwa hiyo ndo zake.
unaufahamu wimbo wake sikumbuki kuku nao ni wa kutuma ujumbe.
 
hekima ya mtu huonekana kwa maneno yake, tungo zake. nadhani kwa kipindi hiki CCM iko kingono zaidi na maana hata tungo ziko kingono
 
Huyu viky ni cha wote,mmesahau bifi lake na marehemu amina chifupa?
 
Hii chakula tuu,nasikia hata dogo ni wa jamaa,anatumia lugha ya picha tu!!
 
Big up kwa kusema ukweli!ana janaba za jana usiku!akaoshe janaba kwanza!idiøt

Yaani Tausi umesema weli kabia yaani ametuaibisha na kutudhalilisha...mie namsahuri siku nyingine akipanda jukwaani asive ngua kwani wengi wanamjua undani wke amepewa bure na mungu akisitiri yeye anakianika pure kwa kila apitaye hajui kuema NO anagawa kama pipi aaondoka na wengi kupewa ubunge anajiona mefika mbinguni lol! Mwanamke hutakiwi kuwa rahisi......!!
 
Atukome.kaolewa yeye.aliona madaftari mazito,anavyotumia uchi kujinufaisha anafikiri kila mwanamke yuko vile!vick kamata,koma kabisa!umeolewa wewe c kila mwanamke.endelea kuwachanganya uvune vizuri unachopanda

Madaftari ya nini? Anasomesha KITABU chake, mada zinawakolea hadi wana hallucinate na kutoa vyeo. Huko Benki kuu aliacha ili awe mbunge?

Huko bungeni anaimba nyimbo chafu ndio hadidu za rejea alizopewa? Bunge la safari hii full kichekesho!

btw ILE TENDA YA KUIMBA NA BOW WOW iliishia wapi? Si alisema anatakiwa kupunguza uzito kwanza?
 
Huyu pumbaf asidhani kila mtu yuko kama yeye,akatoa chululu yake kapata ubunge ameanza kuchanganyikiwa.
 
yani huyu mwanamke ni mwehu kweli, haiwezekani mtu mzima mwenye akili timamu akaongea/ akaimba upumbavu huo mbele za watu hata kama anaipenda ccm kiasi gani, kuifananisha CCM na MUME ni ukosefu wa akili, naipenda CHADEMA SANA ILA SIWEZI KUSEMA CHADEMA NI MUME WANGU HATA SIKU 1.

Alitaka collabo na Bow wow sijui angeimba nn.
 
Matusi mengi hamna hoja hata moja,bora hata kumsikiliza Vicky Kamata.
 
Shauri yetu wanaume ambao hatunayo! Du!!! MASHINE NAYO IPO AU BOGA CHUNGU?.
 
Huyu mwanamke anatia kichefuchefu, kazi yake ya kukata viuno mbele ya waheshimiwa sasa imefikia hatua mbaya! unajua kupata nafasi ya kisiasa kama ubunge, kwake ni kama anaota, yaani haamini kilichotokea kwamba hata yeye! sasa atasema maneno hata ikibidi kumtukana babake anaeza.

Hebu muulizeni, kwani MAGEUZI anajua maana yake? hata CCM wako kwenye mageuzi ya kuvuana magamba sasa hata wao hayo mageuzi yao hayataki? tatizo shule, tumsamehe bure.
 
kauli mbovu. huyo dada kavuta bange nini?

si kauli mbovu bali ndio mwisho wa upeo wake... ukisikiliza sana huyu dada akili yake imegota hapo kwa bwana/mume/dem duduz....

she likes it to the core and cant think of anything else zaidi ya hiyo nduruuu
 
kama vigezo vya viti maalum vya CCM ni lazima Uolewe na chama na wakuu wake basi wengi wataenda India kubadlisha jinsia ya kiume kwenda ya kike. Hapo ni ngono kwa kwenda mbele. Hivi hawa watu huwa wanapima?
 
Sijauckia huo wimbo na wala ctaki kuuckia ila coments za humu zimemshushia heshima sana! Kama ako na akili timamu hope atakuwa amejikunyata rum analia...!
 
Back
Top Bottom