Nyundo Kavu
Senior Member
- Dec 6, 2011
- 186
- 85
Duuuuuuuuuuuuh!!!!!!!!!! Napitaaaaaaa
analiwa na jamaa yetu???tukubali kuto kuballiana
@ HABARINI ZA MCHANA
VICKY KAMATA
Mageuzi usiniguse tumeolewa,na ccm,mme bora mtanashati
anayejua kazi,ninakupenda sana mageuzi,upinzan ,usinishike ,unashombo
JE WANTANZANIA MMEOLEWA NA CCM NA NI MME WENU
BORA !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Ebo!! anahadhi gani huyo chakula ya usiku ya wazee...Kwa hiyo Vicky Kamata anawaambia watanzania kuwa kapata ubunge kupitia ndoa (na nani?). Na anaposema 'tumeolewa" anamaanisha yeye na nani? Sina hakika kama huyu mwanamama anajua maana ya hii statement aliyotoa. It is bad bad bad bad Vicky. Inakushushia hadhi kabisa mama! unaweza ukawa umewaaibisha na wabunge wenzako vijana (wa kike) toka ccm! Very bad!
Hivi huyu Bibi kamata ameolewa?maana km ameolewa leo lazima apate kisago!
Vicky Kamata hana shule yoyote nadhani ni darasa la saba au form four failure isipokuwa ni mwanamziki aliyewahi kutunga wimbo mmoja au mbili lakini mmoja ulivuma anga kwenye harakati za wanawake wimbo wa WANAWAKE NA MAENDELEO,from then akadhani anaweza kuwa politician by being cheap to politicians and boot leaking ,ndio hivyo maisha ni kujaribu
Basi mwandosya anamzunguka.
mkuu ulimlaani mno!Kwa hiyo Vicky Kamata anawaambia watanzania kuwa kapata ubunge kupitia ndoa (na nani?). Na anaposema 'tumeolewa" anamaanisha yeye na nani? Sina hakika kama huyu mwanamama anajua maana ya hii statement aliyotoa. It is bad bad bad bad Vicky. Inakushushia hadhi kabisa mama! unaweza ukawa umewaaibisha na wabunge wenzako vijana (wa kike) toka ccm! Very bad!
mkubwa nielezee vizuri! Jamaa mbona anachakula mingi?
kaolewa bwana. Wale wa ukanda wa mwanza vicky ni shemeji na wifi yenu.
Hiki kinaweza kuwa chanzo cha pingamizi la ndoa ya vick
duuh we ni balaa... umeifukunyua