Vicky Kamata: Mageuzi usiniguse tumeolewa na CCM

Wanawake kama huyu bibi ndio wanatufanya wanawake tudharaulike kila tunakoenda!
Anasifia nini huyu?Kama kaolewa na huyo mme wake mtanashati, sisi inatuhusu vipi?
Atuondoleee shombo na janaba hapa!

Bora useme wewe.
Sisi wanaume tutaulizwa yanakuhusu?
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Wanawake kama huyu bibi ndio wanatufanya wanawake tudharaulike kila tunakoenda!
Anasifia nini huyu?Kama kaolewa na huyo mme wake mtanashati, sisi inatuhusu vipi?
Atuondoleee shombo na janaba hapa!

Big up kwa kusema ukweli!ana janaba za jana usiku!akaoshe janaba kwanza!idiøt
 
@ HABARINI ZA MCHANA

VICKY KAMATA

Mageuzi usiniguse tumeolewa,na ccm,mme bora mtanashati

anayejua kazi,ninakupenda sana mageuzi,upinzan ,usinishike ,unashombo

JE WANTANZANIA MMEOLEWA NA CCM NA NI MME WENU

BORA !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Muulize ritz, FF, rejao, topical, malaria sugu na wengine wanaofanana nao, watakuwa na jibu!
 
Huo wimbo tu alioimba unanifanya niwe na mashaka na elimu yake...watz wengine hatujaolewa na chama chochote
 
Atuambie kwanza wale watoto wake wote kazaa na nani ndipo atuambie mambo ya ndoa ya ccm, au labda ana sema kweli maana hiyo biashara ccm wanaiweza sana, na pia mtu mwenye akili timamu ukiona mkeo kahamia ccm, jua siku zako zahesabika. tunamifano ya wengi hivyo naye hatujui ataondoka na nini!.

:A S embarassed::A S embarassed:
Huyu Vicky Kamata ni nani?
 
hii singo inabidi chadema waichukuwe itumike kwenye mikutano yao watanzania wajue wanavyotukanwa!
 
yani huyu mwanamke ni mwehu kweli, haiwezekani mtu mzima mwenye akili timamu akaongea/ akaimba upumbavu huo mbele za watu hata kama anaipenda ccm kiasi gani, kuifananisha CCM na MUME ni ukosefu wa akili, naipenda CHADEMA SANA ILA SIWEZI KUSEMA CHADEMA NI MUME WANGU HATA SIKU 1.
 
Kapangiwa nyumba na mwandosya huyo mjini dodoma.
Nkuhungu.
Wala hatusumbui,anajulikana kuwa ni mgawaji mzuri.

Kumbe <wandosya naye hafai? basi hakuna chema chawezatoka ccm, sasa nauliza hivii! kwa vile Mwandosya anaumwa si watakuwa wanamchakachua sana? mimi nafikiri ccm wakiachishwa madaraka asilimia kubwa hawatazidisha 4yrs watakuwa wamekufa kwa ngoma maana ni majasiri wa kupokezana vijiti.
 
Back
Top Bottom