Vicky Kamata Adakwa na Polisi

Vicky Kamata Adakwa na Polisi

Huyu mheshimiwwa nimeona cv yake nikashindwa kuelewa alikua na ndoto za kufanya Kazi gani alipokua mdogo
 
Magazeti ya siku hizi bana wanaandika habari ambayo wenyewe wamethibitisha kuwa haina ukweli kukamatwa kwa mhusika.
 
Jamani kweli waliosema "simple minded person always discuss about people"

Hamchoki tu hayo majina?
 
Iwe uongo au ukweli lakini iko wazi kwamba huyu VICKY KAMATA ana gundu zito mno ! Juzi ndoa imeshindikana leo tena majanga mengine , hebu jitathmini dadaangu .

In by gun out by gun. Samwel Doe is dead.
 
Kagasheki endelea kula mzigo kwa wao wanawake. Wote wanataka machine hao.
 
Itakuwa ni hasira za kuachwa na yule jamaa aliye ingia mitini kabla ya ndoa yao kufanyika.
 
Mmmh sasa cha ajabu kipi hapa miaka kumi ni mingi sana katka kufanikiwa.. hata mitano tu ni mingi sana.. usjali si ajabu hata wewe siku unaweza lala ukaamka na fuko la hela..

Sijazungumzia "muda" wa mafanikio nimezungumzia "kipindi "cha mafanikio kwa nini ni kati ya 2005 na 2010. Hebu fuatilia vizuri hiyo resume yake ndio utanielewa.
 
Back
Top Bottom