Lancashire
JF-Expert Member
- Sep 20, 2014
- 14,082
- 10,454
tupia hapa kidogo walau
Ipo humu pitia thread za wadau utaisoma kwa hisani ya bunge la jmt
tupia hapa kidogo walau
Ndoa imetokea wapi tena mama acha umbea
maneno kweli yapo kila mahaliWe. Ndo una kiherehere maana hata mhusika humjui vizur mambo yake..afu mwanamke umbea dili kusutwa suna..ila wewe mwanaume ni noumer kusutwa na vigodoro...nxt tym kama una cha kuongea koma ku..quote post angu mxiuuuu!!#okybye
We. Ndo una kiherehere maana hata mhusika humjui vizur mambo yake..afu mwanamke umbea dili kusutwa suna..ila wewe mwanaume ni noumer kusutwa na vigodoro...nxt tym kama una cha kuongea koma ku..quote post angu mxiuuuu!!#okybye
Mmmh yani apa balaa mara Amiri jeshi, mara Mbowe dubai, mara kagasheki, mara vitanda maalum mara siasa gani mara kusutana umbeya.. halafu kichwa cha habari Vicky kamata adakwa na polisi ukisoma habari inaonekana hajakamatwa ni upelelezi unaonyesha ni vicky akitumia namba iliyosajiliwa kwa jina mdogo wake.. Vicky anasmea yupo bungeni magige anasema amesikia amekamatwa nk.. lugha gongana.. daah bora bunge la katiba limeisha nipate mda wa kuwemo humu safi sana kila mwenye pumba zake ama point anamwaga tu.
Ila nashukuru kitu kimoja i know more about this ila wacha wafu wawazike wafu wafu wao... i will be back.
be honest sir
Angepelekaje kwa spika wakati hajui nani anahusika? Kama ni raia wa kawaida ambaye si mbunge, spika angehusikaje? kumtusi mtu ni kosa la jinai, na polisi ndio mahali pake sahihi.Busara ndogo hao walioshtaki,
hii kesi ingepelekwa kwa madam Spika.
Angepelekaje kwa spika wakati hajui nani anahusika? Kama ni raia wa kawaida ambaye si mbunge, spika angehusikaje? kumtusi mtu ni kosa la jinai, na polisi ndio mahali pake sahihi.
Sheikh wepesi upi anautaka huyu bibie unaomuombea kwa M/Mungu? ,kwa upeo wangu naona mazito yote kwake ni unyoya , au kuna zito atakalo liwe jepesi linalomsibu?.Mti wenye matunda kupigwa mawe lazima katika maisha ili ufanikiwe unahtaji marafiki ila ili ufanikiwe zaidi unahitaji maadui keep it up Madam Vicky kamata watasema mchana usiku watalala inshaalaah Mwenyezi Mungu atakufanyia wepesi..
Sheikh wepesi upi anautaka huyu bibie unaomuombea kwa M/Mungu? ,kwa upeo wangu naona mazito yote kwake ni unyoya , au kuna zito atakalo liwe jepesi linalomsibu?.