Vicky Kamata Adakwa na Polisi

Vicky Kamata Adakwa na Polisi

Ufisadi hauwezi kuisha hata iweje hata ishuke katiba kutoka mbinguni mapadri, wachungaji, mashehe wenyewe wanakuaga na kesi mbaya kama za kulawiti kutia mimba waumini nk ije kuwa mtu wa kawaida
wanadamu tunalilia kitu kisichoweza kufanywa na hata wengi wetu pia. Hata vitu maalum viondeke atakua mkurugenzi ukiondoka ukuu wa wilaya au mkoa nk sehemu kibao tu anaweza kuwekwa aliye juu yupo juu tu wanaweza fanya lolote watakalo tulizaliwa ktk mfumo huo ni ngumu sana kuubadili hata awe rais nani maana hao viti maalum cuf wapo wapo bungeni viti maalum wa chadema pia wapo na nccr pia. na mbatia pia ni kiti maalum tatizo hapa si kitj maaalum waungwana ishu hapa ni bifu mbona mabifu yapo sana hata kwa wazee.. sioni tatizo hapa sitetei yoyote hapa ila mkiweka sula kua wanawekwa wekwa tu wapo wengi waliowekwa na wametulia mfn. Asha rose migilo nk. Ishu ni mabifu chamsingi najua zipo taratibu wangewaita wawapatanishe tu vicky na wenzake ili hii ishu iishe wapambane na maisha na sio wapambanie magazetini..
 
Hata basi sikatai unayosema watuwekee basi watu wenye akili Na kujiheshimu Kama Dr.asharose sasa hai wakina kamata Na wenzAke mchango katika taifa Ni upi au ndio hiyo mipasho huko wanayitupiana. Hebu tufikifirie kwa mapana mambo haya.hai viti maalum uliowataja Ni watu wanaojitambua nakujiheshimu huwezi ukawalinganisha hata kidogo Na hao kina kamata
 
Hata basi sikatai unayosema watuwekee basi watu wenye akili Na kujiheshimu Kama Dr.asharose sasa hai wakina kamata Na wenzAke mchango katika taifa Ni upi au ndio hiyo mipasho huko wanayitupiana. Hebu tufikifirie kwa mapana mambo haya.

Hilo ndo jambo la msingi la kuangalia nani wa kuwekwa pale hawa waimba mipasho magazetini bora wangeingia bongo movie tu.
 
Ulilosema ni kweli kabsa ila mtu kama anakuchukia anatamani hata angeenda The Heig Ili kumuua kisisa na si kisiasa tu kuna taratibu nyingi zilipaswa kufuatwa kabla yankufika huko mtu kama hakupendi ni hakupendi tu.. cha msingi piga moyo konde hon Vicky na kisha usonge mbele.

Ana siasa gani mwenyewe huyo?
 
Nimesikia kupitia magazeti ya leo kwamba Mh Vicky Kamata amekamatwa na Polisi kwa kutumia ujumbe wa matusi waheshimiwa wenzie wa viti maalum

Habari zaidi zitakujia hivi punde

CHANZO: Mtanzania

second lady huyo,waache kumdharirisha hao polisi vibarua vyao vitaota nyasi.
 
Back
Top Bottom