Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 137,377
- 271,801
Iwe uongo au ukweli lakini iko wazi kwamba huyu VICKY KAMATA ana gundu zito mno ! Juzi ndoa imeshindikana leo tena majanga mengine , hebu jitathmini dadaangu .
Inawezekana unayosema wananchi tunawalipa posho kazi wanayoifanya Ni kupigana vijembe hawa viti maalumu hakuna cha maana wanajaza ukumbi Tu hii nchi hii we ngoja.watakuwa wagombea vigogo ili viti maalumu vijavywo wawepo.
Acha uongo bakari , anayepita hawezi kuandika lijitabu refu namna hiyo bhana !Hata magige mbona mzuri sana mm naamini kampita Vicky kwanini huyo mkuu asinase kwa Magige kanasa kwa Vicky????? Au kaona magige fyatu nini?? Napita tu
Acha uongo bakari , anayepita hawezi kuandika lijitabu refu namna hiyo bhana !
mbowe hajaenda kumuwekea zamana bado? maana najua atakuwa akimuhitaji tena kumpeleka dubai kumfaidi.
Mkuu mbona unamuumbua Bakari hivyo.
Busara ndogo hao walioshtaki,
hii kesi ingepelekwa kwa madam Spika.
Kama uko press conference vile kumtetea! utafikiri Salva Rweyemamu anaitetea ikulu!
naona leo wachangiaji wa hii mada wengi ni mabingwa wa kukariri. Siku hazigandi fununu kwa bongo tayari imekua kweli eti eti tu watu washatia sahihi.. Shughulisheni akili zenu kufikiri zaidi huyo amiri jeshi mlimshikia miguu.. Au mlikuwepo?? Au na nyie mnataka??? Nyie ndo wenye wivu sasa hamjijui tu.
Nadhani,wanagombea kitanda maalumu!huenda wanagombea kiti maalum kikubwa
Hata mm sijasoma hiyo habari lakini through experience namin Vicky anaundiwa zengwe...
Mti wenye matunda kupigwa mawe lazima katika maisha ili ufanikiwe unahtaji marafiki ila ili ufanikiwe zaidi unahitaji maadui keep it up Madam Vicky kamata watasema mchana usiku watalala inshaalaah Mwenyezi Mungu atakufanyia wepesi..
Naona leo wachangiaji wa hii mada wengi ni mabingwa wa kukariri. Siku hazigandi fununu kwa bongo tayari imekua kweli eti eti tu watu washatia sahihi.. shughulisheni akili zenu kufikiri zaidi huyo amiri jeshi mlimshikia miguu.. au mlikuwepo?? Au na nyie mnataka??? Nyie ndo wenye wivu sasa hamjijui tu.