Vicky Kamata Adakwa na Polisi

Vicky Kamata Adakwa na Polisi

Labda la kudakwa na polisi mkuu hilohilo liwe jepesi zaid ya unyoya..
Hilo naona watu wanajipa promo na kuongeza kipato kwenye buss zao , mwenyewe si amejibu yuko kwake hajakamatwa, tunataka hilo zito aombewalo liwe jepesi!!.
 
Kwani wachangiaji wengi wamesoma habari basi wamecomment kichwa cha habari tu..
Haya kama hutaki kuning'ata sikio na hilo" zito liwe jepesi " yaani nina hamu ya kulijua!!, kama hutaki kumwaga hapa basi tumia njia nyingine unimegee.
 
Uko sahihi sana kwa madai ya magige hakujua aliyekua anamtukana akaripot polisi na uchunguzi wa polisi ndo ukabaini hilo.. kwa kujazia hawa bado ni vijana bado wanasafari mdefu kisiasa na huu sio muda wa kulumbama ni kupambana kwa maslahi ya wananchi ushauri wa bure najua upp utartibu wa bunge katka jambo kama hili wangewaita hawa wadada wote wawapatanishe bifu lao ni la muda sasa kila siku kujengeana mazengwe na makashfa magazetini na mitandaoni sio ishu kabisa...
sio wote walioko kwenye siasa ni wanasiasa, wengine wacha natural process ziwamalize kwa style hiyo. mwana siasa anayejua malengo yake hawezi ku-indulge upuuzi huu.
 
sio wote walioko kwenye siasa ni wanasiasa, wengine wacha natural process ziwamalize kwa style hiyo. mwana siasa anayejua malengo yake hawezi ku-indulge upuuzi huu.
swali ni kwamba wameingiaje
 
Mmmmh ila dada hapa ni ishu ya kudakwa na polisi ndoa haimo wamuonea tu post za ndoa yake zimejaa tele humu au ujaziona?? Yuko sawa hajakosea..

Ila pia la ndoa si linamuhusu yy??pia au kuna mipaka ya kuuliza kama alikua hana majibu asingenijibu..angewaachia wenye majibu khaaa!!
 
Ila pia la ndoa si linamuhusu yy??pia au kuna mipaka ya kuuliza kama alikua hana majibu asingenijibu..angewaachia wenye majibu khaaa!!

Ila post za ndoa charity zipo kibao humu jamii forum.. hapa ni ishu ya kudakwa na polisi ndo mana
 
sio wote walioko kwenye siasa ni wanasiasa, wengine wacha natural process ziwamalize kwa style hiyo. mwana siasa anayejua malengo yake hawezi ku-indulge upuuzi huu.

Kweli lakini hawa wanabifu kazi yao kuharibiana tu na kuchafuana magazetini na mitandaoni..
 
swali ni kwamba wameingiaje

Ila viti maalum wapo wengi sana hata chadema wana viti maalum wengi tu akina Asha rose migilo ni viti maalum pia na hata Mbatia aliteuliwa au nae ndo nanilii??? Au ????...... suala la kuingiaje nadhani tuliweke pembeni. Tuje ishu ya Vicky kudakwa na polisi
 
Kwa hiyo habari ni ya uongo?

Kuna ukweli wenye uongo mwingi sana inawezkana suala lilifika polisi lakini hakukamatwa na kwa taarifa za ndani kabisa hata iyo kesi haipo ila kuna bifu la mda mrefu sana la hawa wadada na kazi yao ni kulipuana tu kila anayepata fursa ya kumlipua mwenzake analipua tu japo Vicky kazidiwa ndo mana analipuliwa sana kuliko anavyowalipua wenzake nadhan hawa wadada akina magige wamejipanga kuliko vicky...
 
Ila viti maalum wapo wengi sana hata chadema wana viti maalum wengi tu akina Asha rose migilo ni viti maalum pia na hata Mbatia aliteuliwa au nae ndo nanilii??? Au ????...... suala la kuingiaje nadhani tuliweke pembeni. Tuje ishu ya Vicky kudakwa na polisi
ndhani lina muktadha wake na huku kudakwa
 
umbeya huwa hauishi kwa wadada
Kuna ukweli wenye uongo mwingi sana inawezkana suala lilifika polisi lakini hakukamatwa na kwa taarifa za ndani kabisa hata iyo kesi haipo ila kuna bifu la mda mrefu sana la hawa wadada na kazi yao ni kulipuana tu kila anayepata fursa ya kumlipua mwenzake analipua tu japo Vicky kazidiwa ndo mana analipuliwa sana kuliko anavyowalipua wenzake nadhan hawa wadada akina magige wamejipanga kuliko vicky...
 
DSC03817.jpg
 
Ushauri tu wa bure VICKY KAMATA akaonane na viongozi wa kiroho wanaomtumikia Mungu kweli kweli (napendekeza Mwl. Mwakasege), apewe counselling, atubu na aombewe ili hayo mapepo ya mabalaa yamuachie na aishi maisha ya kuokoka, unless otherwise atapata shida maishani.

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Inawezekana unayosema wananchi tunawalipa posho kazi wanayoifanya Ni kupigana vijembe hawa viti maalumu hakuna cha maana wanajaza ukumbi Tu hii nchi hii we ngoja.

tutangoja hadi lini.? yani hapo ni kiti maalumu 2015 nitafutwa na kama sio itakuwa ukuu wa wilaya.
 
Huyu mheshimiwwa nimeona cv yake nikashindwa kuelewa alikua na ndoto za kufanya Kazi gani alipokua mdogo
alianza certicicate ya ualimu
ikafata diploma ya computer
halafu certicate ya jounalism
digrii ????? haijaonekana
halafu ghafla akapata MSc... ktk field ipi, haijaonyeshwa

nafikiri alikuwa na ndoto za viti maalumu
 
Viti maalum bwana.....yaani wivu tu hamna lolote.

Watu wenye busara walishauri hivi viti maalum bungeni vifutwe lakini hawa wahuni wakware magamba wanataka viendelee ili waendeleze ukware wao kwa kutumia kodi za wananchi!! Mnaona sasa ,hawa wanawake wanayoyafanya huko bungeni?
 
Huyu Mayenga yeye hata huo uDC kaupataje kama sio huo ukware wa hao magamba? Magige Catherine si ndio yule nae alihongwa na hawara yake shilingi mil. 20 za kutoka TANAPA kwenda kwenye kiNGO chake wakati huo huyo hawara yake alipokuwa waziri!! Hawa wanawake hawana lolote isipokuwa kugombea wanaume huko bungeni!!
 
Watu wenye busara walishauri hivi viti maalum bungeni vifutwe lakini hawa wahuni wakware magamba wanataka viendelee ili waendeleze ukware wao kwa kutumia kodi za wananchi!! Mnaona sasa ,hawa wanawake wanayoyafanya huko bungeni?

Mmmh ufisadi hauwezi kuisha hata iweje hata ishuke katiba kutoka mbinguni mapadri, wachungaji, mashehe wenyewe wanakuaga na kesi mbaya kama za kulawiti kutia mimba waumini nk ije kuwa wanadamu tunalilia kitu kisichoweza kufanywa na hata wengi wetu pia.
 
Back
Top Bottom