Vick Kamata: Utajiri hu unahitaji maelezo ya ziada

Vick Kamata: Utajiri hu unahitaji maelezo ya ziada

Jamani huyu binti mbona source ya income yake inafahamika kuwa anagawiwa kutoka meza kuu au hamjui?
 
Katika hii Serikali ya mafisadi nani ana uwezo wa kumhoji Vick ikiwa majibu wanayo tayari?
 
Hivi kijana wa kiume ukiwa na wivu na vitu/mali za akina dada ina maanisha nini????

C.C PISTOL LERO:
 
View attachment 140037 kamata 1.jpg
 
Vic hongera kama kweli una watoto 75 wasiojiweza unaowasomesha, hiyo tu kwangu inatosha kuona hata kama umehodhi ni halali, kwani kuna watu kila siku tunasikia wanauwa tembo,wanfunga mikataba ya madini na kuingia mikataba bubu. Inayowamasikisha watanzania na kujinufaisha wenyewe na kupeleka fedha zao nje ya nchi, utafikili hawafi, mama angu na hako ka mgodi we miliki tu kikubwa uongeze idadi ya kuwasaidia wenye uhitaji sio unaowahitaji ww, kama vipi tutakuchagua kwa kura next uchaguzi

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Chakula ya baba!!!!! Mbona utajiri wake ni mkubwa kuliko mlioutaja?? Liquid assets nazo mmezipata data zake??? Maana mnazosema hapa ni fixed assets tu!!! Galagabaho!!
 
Chakula cha MCUU wa CAYER huyo, nani asiyejua?
Mtoto wa kiume kuwa mbeya haifai, Hebu jitizame na umri wako mkuu...Aibu sana. Hayo
maneno inabidi waongee watoto wa kike.

Wadau, Arushaone ana wivu...hii imekaa vipi???
 
Nyerere aliharibu sana watu akili. Roho zetu zimekaa za kimaskini sana.
Mtu ana nyumba na mashamba sijui eti pia X5 basi kelele?

tulitakiwa tuanze na pure capitalism aisee, kila kitu unanunua hata kupita barabarani unalipia, watu wangepata akili na kufanya kazi, sio maswal aya kukaa vibanda vya kahawa asubuhi yote na kuanza kupiga stori wakati wenzao wanafanya kazi halafu wanakuja kuilaumu serikali
 
Nyerere aliharibu sana watu akili. Roho zetu zimekaa za kimaskini sana.
Mtu ana nyumba na mashamba sijui eti pia X5 basi kelele?

Kaka pigia mstari uzi wako...
Baadh ya watz wana roho za kimaskini na watakufa hivohivo na umaskini wao...
Watu mnashndwa kutafuta hela zenu kazi majungu kushnda mnajadili hela za wenzenu.
Pole sana tz yangu
 
Acha chuki tafuta zako nawe unashindwa kufanya kazi unaanza kujadili maisha ya watu nyambafu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom