TWALIBU MAKOSA
Member
- Aug 11, 2013
- 88
- 7
Ndo alivyopangiwa na mungu jamani muacheni,
Na wewe ukifanya nini?
Baba ya watoto hajatajwa he he kuna picha ilitupiwa hapa mtoto wake wa kiume anafanana na rizmoko!
- punguzeni siasa za makengeza sugu na huyu dada wote walikuwa wanamuziki ni sawa kabisa kuwa na huo utajiri walionao!!
Le mutuz
heheheheheheheheh ngoja nilinde kucha na meno yangu bado nayahitaji kwa matumizi ya baadaye loh
- Kaka wacha majungu na siasa za makengeza sio nyie mliotuambia hapa kwamba utajiri wa Sugu ni halali maana alikuwa muimbaji wa muziki sasa hapa tofauti ni nini hasa ya hawa wanamuziki wawili kuwa na utajiri unaofanana? Sometimes mnakuwa na siasa za kuchekesha tulipouliza hapa kuhusu utajiri wa Sugu mlisema ni mwanamuziki sasa what is the problem hapa?
Le Mutuz
Habari za Lagos, ha ha haa! Mjumbe wa Bunge la Katiba kupitia watu wenye malengo yanayofanana!- Kaka wacha majungu na siasa za makengeza sio nyie mliotuambia hapa kwamba utajiri wa Sugu ni halali maana alikuwa muimbaji wa muziki sasa hapa tofauti ni nini hasa ya hawa wanamuziki wawili kuwa na utajiri unaofanana? Sometimes mnakuwa na siasa za kuchekesha tulipouliza hapa kuhusu utajiri wa Sugu mlisema ni mwanamuziki sasa what is the problem hapa?
Le Mutuz
Sugu kalipigania jimbo kwa jasho lake, huyo Vicky kahongwa
Taifa masikini wachache mabilionea wakati ukifika watalia sana maana hata chupi watafilisiwa