Vichekesho kumi za leo teh teh teh!!!

kipi ni ujinga zaidi ya kingine 1/kung'arisha viatuviatu wakati unaenda kupiga passpot size 2/kupunguza sauti ya redio ili usome sms.
 
Tehetehe....... unashandaa haka kadogo baba anaheshima kubwa... nimeipenda hii. Sio vizuri kuwambia watoto maneno yasiyo sahihi. Big lesson.
 
Dah mkuu zote kali hata kama ulikuwa na hasira lazima u smile

Siku Moja Mtanzania alienda marekani, basi akapata girlfriend mweusi. Siku moja akamtembelea nyumbani kwake. Akamkuta binti sebuleni, na mama mkwe Jikoni. Binti akamnongoneza Jamaa sikioni, "Unataka kula Nanihii leo?" Akimaanisha ile inasikika kama "Paka" kwa Kikwetu. Basi jamaa akaadhani ni aina ya chakula akakimbilia jikoni akamwambia mama mkwe, "Naomba .."Kama paka".. Nile, basi mamamkwe akakasirika pakawa hapatoshi pale nyumbani. Masikini jamaa akabaki anashangaa!
 
Me nalia
 
20 Reactions
Reply
Back
Top Bottom