Vichekesho kumi za leo teh teh teh!!!

pamoja sana wote mliozifagilia pamoja sana!!! Nashukuru kama mmezipenda na mmecheka hehehe mwny nikizisoma mbav cna! Bwahahaha!
 
Hongera sana e2themiza kwa mchanganyiko mzuri wa wit. humour and wisdom. Wengi wamesema wamevunjika mbavu lakini mimi kwa vichekesho moto namna hii natoa machozi mengi sana halafu nasikia mwili umepoaaa.Asante kwa dozi hii ya matibabu.
 
hehehehe hahahahha hapo namba 6 nimecheka hadi ushuzi ukatoka ikabidi ofisi nzima icheke mhhh jamii forum nouma

pia nimekumbuka kichekesho cha baba aliyekuwa safari karudi anahamu ya kukutana na mkewe wanalala chumba kimoja ila kitanda dabo deka watoto 2 wanalalajuu wazazi chini hivo wanasubiri watoto wapitiwe na usingizi ndo na wao waanze libeneke. hali ilikuwa hivi....
baba na mama wakiwa katikati ya libeneke kitanda kikipelekwa mbele nyuma mbele nyuma mtoto mdogo alianguka kutoka kwenye dabodeka hadi chini na kuanza kulia ikabidi wawashe taa wambembeleze alale ili waendelee kwani walikuwa hawajafika kileleni baada ya nusu saa wakaanza tena dogo akaanguka tena na kulia wakambembeleza tena na kupitisha nusu saa wakaanza tena safari hii yule mtoto mkubwa akamwambia mdogo wake fatuma shikilia kitanda usianguke wameanza tena baba nae kwa uchu wa kupiga bao akawajibu eeeehe shikilia kwa nguvu sasahivi hatukuokoti ebooo
yani naandika huku nacheka mbavu zangu uwiiiii ngoja nikale
 
20 Reactions
Reply
Back
Top Bottom