Vicent amlipua Tendwa, Mkapa aomba suluhu

Aisee, usilolijua ni kima usiku wa Kiza. Kumbe BWM aliandika barua kuomba kuwa mwanafamilia ya Nyerere? Maswali magumu ya kujiuliza ni haya yafuatayo:

1. Ni nani muasisi wa wazo hilo?
2. Je, alifanya hivyo kwa hiari au aliambiwa aandike maombi?
3. Je motive ya kuomba kuwa mwanafamilia ni nini?
4. Na kwa wanaofahamu what are the criteria and conditions?
5. Je unaweza kulifanya hivyo katika familia yoyote?

There are so many questions than answers.
Hili nalo neno kama aliandika barua kuwa ukoo wa Nyerere ina maana aliukana ukoo wa Mkapa au ana koo mbili, huu utata usije kuwa wa kisheria kama uraia wa Sioi.
 
Kwa hiyo Vincent anaona ni kuzaliwa kwenye ukoo wa Nyerere ni kitu cha maana sana! Maana sioni kama anatoa hoja yeyote ya maana. Ingawaje watu wanachekelea domo lake linavyosema ovyo kumchafua Mkapa kwa hoja za kitoto, ajue anamchafua zaidi huyo Nyerere ambaye anamwita baba yake. Iko siku atajutia maneno yake na sidhani kuwa mtoto wa baba mdogo ana haki ya kumuongelea baba mkubwa kuliko wanaye wa damu.

umeshajiuliza ni kwa nini mkapa aliropoka jukwaani hii ishu? Mkapa hakuona dili kumchafulia vicent? Nyambaf we!
 
Sikujua kama ukoo ktu huomba na kuruhusiwa kwa barua hii ni kali BWM kuomba ukoo sasa ule wa kwake wa kimakonde kautelekeza?
 
Kwa hiyo Vincent anaona ni kuzaliwa kwenye ukoo wa Nyerere ni kitu cha maana sana! Maana sioni kama anatoa hoja yeyote ya maana. Ingawaje watu wanachekelea domo lake linavyosema ovyo kumchafua Mkapa kwa hoja za kitoto, ajue anamchafua zaidi huyo Nyerere ambaye anamwita baba yake. Iko siku atajutia maneno yake na sidhani kuwa mtoto wa baba mdogo ana haki ya kumuongelea baba mkubwa kuliko wanaye wa damu.

We unataka watoto wa damu? Na njia gani watumie basi kumsema Mkapa? Pia una maanisha ni haki Mkapa asemwe kwa aliyofanya ili mradi tu wanaosema ni wanae wa damu JKN sio?
 
Kwa hiyo Vincent anaona ni kuzaliwa kwenye ukoo wa Nyerere ni kitu cha maana sana! Maana sioni kama anatoa hoja yeyote ya maana. Ingawaje watu wanachekelea domo lake linavyosema ovyo kumchafua Mkapa kwa hoja za kitoto, ajue anamchafua zaidi huyo Nyerere ambaye anamwita baba yake. Iko siku atajutia maneno yake na sidhani kuwa mtoto wa baba mdogo ana haki ya kumuongelea baba mkubwa kuliko wanaye wa damu.
watoto babako mdogo wasimuongelee baba yako?
 
Hili zee kweli, mtu umeomba ukoo tena kwa barua halafu unataka uwe na sauti nene, unakaribishwa sebuleni unataka uchungulie chumbani aibu kubwa ya mwaka ex presidaa mzima kaaibika.
 
wakati tendwa ametoa yale matamshi nilikaa chini nikamsikitia sana maana ninavyomjua vicent nilitegemea hili. kibaya zaidi ni namna mkapa alivyotafuta undugu kwa nyerere kwa barua.
 
Yawezekana lengo la WBM ilikuwa wameru wampuuze Vicent Nyerere kwenye kampeni akidhani watanzania wengi wanaposikia jina la Nyerere huko Chadema basi wataima ccm. Mawazo haya kwa Tanzania ya leo hayafanyi kazi.
 
Akimwacha asimjibu ccm wanaendelea kutamba , kama walivyofanya kwa kuleta udini, ukabila na Uzanzibari
 
Hili nalo neno kama aliandika barua kuwa ukoo wa Nyerere ina maana aliukana ukoo wa Mkapa au ana koo mbili, huu utata usije kuwa wa kisheria kama uraia wa Sioi.

Ndiyo maana napenda kujua wanaofahamu masuala kama haya huwa inakuwaje?
 
Yaani Mkapa aombe radhi kwa kumuua BABA WA TAIFA!! Adhabu pekee inayomfaa huyu UGLY CREATURE ni KUNYONGWA TU.

Mimi hapo sipo ijapo adhabu inatakiwa iwe hiyo! sasa si wampige Mkapa
marufuku kujihusisha na fam,ilia ya Nyerere?
 
Back
Top Bottom